Ni kosa lipi alilofanya tangu aingie mpaka umuite rubbish...Mi sijaona popote alipokosea na mipira yote iliyomfikia kaicheza vizuri..kaokoa kwa kichwa na kaokoa mipira mingi tu kwa uzuri kabisa sasa sijui huo urubbish unaouzungumzia watoka wapi mazee,labda avurunde 2nd half