#Wakaangasumu Kimya!!!! Najua mlikuwa macho kusubiri Villa watufunge hahaha
Acha wivu wa kike,waache wenzio wafurahie timu yao inapofunga...watu wa Manure mna frustration sana
Hawa was*nge walitubania sana,natamani muwafunge hata goli 5 bila...nipigieni mbwa hao..
tehtehtehtehtehtehteh anabidii kweli ya kufanya sensa humu ndani lakini yeye akianza kuchajisha simu yake watu tupo kimyaaa......dahh?! Huyu?! :coffee:
Utaumia sana dadadeki kumbe ulikuja kituo cha polisi kumdhamin mmasai.
Huijui timu yako vizuri,Arsenal huwa haifungwi mfululizo hapo ndio Wenger huwa anawashangaza watu
Wapenzi wa mpira bana, tunasahau na tuna visingizio vyepesi. Misimu michache iliyopita Arsenal walifungwaga mechi 3 mfululizo, leo unasema vyingine
Haya usikimbie tu hapa ..
Prof hana wasi wasi kabisa na performance ya Ozil pimbi pamoja na #Mburukenge# wanaweweseka ........ .....
Tangu lini wametoa any good comment kwa mambo ambayo Prof
anayofanya kwa Gunners .......Nay
Vijana wako away kesho Villa Park tegemea ushindi mnono COYG KICK OFF 15:00 Hrs British summer time