Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mi anayeniudhi sana ni Arsene Wenger. Wenger ni modern-football inept kabisaaaaaa, hana tactics, hajui anahitaji wachezaji gani wakati wa usajili, mbishi kusikiliza wattu!! aaaaaggrrrrrhhhhh!! Kwa mtindo huu tusiojifunza kutokana na makosa, niwe mkweli naogopa timu za counter attack tutakazokutana nazo Chelsea ikiwemo.
 


Welbeck is on his knees after missing Arsenal's best chance of the first half

 
Kesho tutawaona United mtakachofanya

Hao madogo, jumanne na jumatano usiku ni watu wazima, wao hawapo. Wenyewe mechi zao weekend mpaka weekend tu tena kabla jua halijazama. Hata alhamisi usiku hawaruhusiwi. Ila pamoja ya kwamba sisi tunacheza za watu wazima na usiku, ila sisi ndo tunaingizwa guest. Dortmund walituingiza guest wakaenda kutununulia na chips kisha kutufanya watakacho. Ni shiiiiiiiiiiiider!! Duh!
 

nimekuona kule YNWA tena upo huku ! bila shaka wewe ni 'Man useless'
 

soma;

"Once Bitten, twice smitten!".....Mzee Wenger sijui pride inamsumbua? ....anyway, tusiseme mengi bure, kipindi kile kelele za WengerOut ziliposhika kasi, majority walimtetea kuwa he knows what he's doing!

Kama unakumbuka vizuri, partnership ya Fabregas na Flamini ilikuwa nzuri sana kabla Flamini hajaenda Italy, na kuondoka kwa Flamini ndio ikawa kuporomoka kwa kiwango cha Fabregas pia Arsenal.

Hata mimi nilimshangaa sana huyu mzee kumkataa Fabregas, japo tulikuwa na 1st Opt Clause kumrudisha Fab kundini. Leo hii tunabakia kum admire assists zake Chelsea, huku tunaugulia maumivu ya Ozil,....balaaa!
Anyway, "we win or lose.....Together we stand!"

Bila Fabregas, bila Van Persie, tumechukua FA Cup na Charity Shield,......We are the Gunners, we will bounce back!



 


Sasa hivi mahesabu hasubuhi. EPL na UCL hamna chenu. Ikifika january mmechakazwa tayari.

Siioni arsenal ya kubeba kombe msimu huu.
 
BAK upo??

Msalimie ndugu zangu [MENTION=154255]rubaman na Wacha1
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Sasa hivi mahesabu hasubuhi. EPL na UCL hamna chenu. Ikifika january mmechakazwa tayari.

Siioni arsenal ya kubeba kombe msimu huu.

Inaniuma, ila sina budi kukubaliana nawe. Kocha hatuna. Tuna director of finance ktk mambo ambayo hayahusiani na moja kwa moja na kucheza mpira kiwanjani. Wenger yuko sooo out of touch with the current games, always outsmarted by young managers. Tulivyopigwagwa nane na Manu, sita na Mancity, tano na liver, sita na chelsea, walitumia very same tactics, Pressing us high up the pitch na kutufanyia counter attacks za kufa mtu. Wenger hajajifunza kitu hapo. Bado anatumia tactics hizo hizo tulizoangamizwa. Jana ilitakiwa yawe maafa mengine. Tuna bahati arsenal. Amemuaharibu Ozil, kamuharibu Arteta (sio yule wa Everton), anamuharibu Podolsi, Carzola na anawakumbatia kina Wilshire, Szeschey!! Sioni tukichukua kombe kubwa tukiwa na wenger. Tutaishia Carling cup na labda FA kama tuna bahati kwenye draw kukwepa timu kubwa.
 
nimekuona kule YNWA tena upo huku ! bila shaka wewe ni 'Man useless'

YNWA ndo wapi??? Mi ni Arsenal damu toka enzi za Ian wright. Miaka ya 1998, nikiwa dogo kabisa enzi hizo! Huko YNWA eidha umenimix na mwingine au uliniquote vibaya. Ian Wright ndo alinivuta Arsenal, Henri akaja pigilia msumari. Wachezaji hawa ndo walinivuta Arsenal: Seaman, Dixon, Winterburn, Bould, Adams, Viera, Petit, Wright/ Anelaka/ Henri, Overmarz, Berkamp nk. Hili chama hakukuwaka na stress, stress ilikuwa kama dk 45 za kwanza bado mtu hajakalishwa. Alikuwa hatoki mtu. Kisha The Invincibles. Dah! Niko nolstagic hapa, remembering good old days. Ni Arsenal all the way, hamna chembe za Manu ndani yangu. Gooner till I die no matter what!! Nafikiri yule manager wetu Graham alikuwa ni monster. Ye ndo alimuandalia ukuta usiopenyeka Wenger kabla hajaondoka. Sasa hivi babu hajielewi na defence. Stori hii yote ni kukuthibitishia mi Arsenal, usinivute huko.
 

Dah! Yaani alitaka kabisa kurudi nyumbani babu akamfungia mlango! Angemchukua tu hata kama anadai Ozil yupo. Tungekuwa na squad kubwa zaidi. Alafu INANIUMA sana ninapomuona ndani ya uzi wa Chelsea akipiga ma-assists. Ila ndo mambo ya hindsight haya, tungejua.
 
Ndo kwanza Wenger kasign hadi 2017..... kazi tunayo bado!!!!
 

.......duuuh ! pole mkuu, nilikuwa nam-quote dogo mmoja anajita Grand PA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…