MillionHairs
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 803
- 406
Kwenye umaliziaji Giroud ni mzuri kuliko Wellbeck
Kama kuna mchezaji ambaye simpendi kwenye timu ya Arsenal basi ni Giroud...ni kheri uingie uwanjani wewe Belo kuliko hicho kidudumtu unachopendekeza.
Kama kuna mchezaji ambaye simpendi kwenye timu ya Arsenal basi ni Giroud...ni kheri uingie uwanjani wewe Belo kuliko hicho kidudumtu unachopendekeza.
halafu Wenger ndio anamuamini kwelikweli Giroud....
Kukimbia jukwaa ni kitu kisichowezekana
Naona Kuna washangiliaji wa BD toka Manchester . Majeruhi yametuharibia lakini tuna nafasi ya kuendelea toka hili kundi
Wengi tu wameshakimbia
Damn it huyu kipa ana mizaha kweli
Piga m b wa aoooooooo
Dah, leo soka limetugomea tena.... In Wenger We Rust!!!!!!
Sababu sio majeruhi, Debuchy hata angekuwa OK asingecheza leo kutokana na red card labda useme Giroud. Wachezaji bado hawajacheza kwenye kiwango chao, Welbeck need to improve kesha kosa two goals so far ambazo alitakiwa kufunga ... ... . bado wanapasha joto tu ... ..... ... BD watakuja Emirates wala usitie shaka ... ... .. ...