Naona Old Trafford vipofu wameona mwezi?!
Yaani kelele zote zile mmepiga tumeshinda Mara moja tayari tunawapumulia kisogoni
We still have a room for improvement. Japo naona tatizo kubwa la AFC ni meza ya majeruhi. Ili kushinda mataji tunahitaji wachezaji wote kuwa fit na kuepuka majeruhi. Nina wasiwasi Debuchy aweza kuwa nje kwa mda mrefu kama kina Walcott, Giroud, Diaby wengine tushasahau anaichezea AFC.
Mnamlipa kiasi gani??
hivi yule MONREAL siku akikutana na mtu kama Di Maria au Rahim Sterling ndugu zanguni si itakuwa majanga!!!! Huyu mchezaji kwa kweli sijui anapataje namba hapo Arsenal.......
He's good going forward. Sidhani kama kwa backup defender ni mbaya kiasi hicho. Nacho is an 'ok' player..!hivi yule MONREAL siku akikutana na mtu kama Di Maria au Rahim Sterling ndugu zanguni si itakuwa majanga!!!! Huyu mchezaji kwa kweli sijui anapataje namba hapo Arsenal.......
Nakubaliana na wewe na kale ka Carl Jenkinson babu kakapeleka on loan, naona Chambers atachukuwa nafasi kwa muda akisaidiwa labda na Héctor hBellerín, bado tunao wa hapa na pale...