wakuu Gunner .....ni ...... 7up.....
Ndio ushindi wao huo
Jamenijameni, huyu naye katoka wapi?! Nemo ni goons' record breaker katika transfer fees!! Sasa unataka apigwe benchi na kocha aliyevunja benki kwa ajili yake?!? Wenga si ataonekana kichaa!!!
Hongereni kwa droo...
Sijaongeza maneno ila nimeyapunguza yatengeneze sentensi sahihi na "Ungeiweka hivyo ingependeza zaidi maana ndio nafasi mliyopo na kuna wanaokuja kuwapita hapo so enjoy while it last..!! 7up is urs this tym
Pamoja sana wakuu wa Gunners tumepata point 1 sasa kinachofuata ni kusonga mbele tuwasubirie BVB katikati ya wiki tuone itakuwaje.
Mkuu #Mburukenge wamekimbia jukwaa, leo walikuwa wamejiandaa kufanya karamu hapa.
#InGunnersWeTrust
Ndio, lakini tutamkalisha tu...
COYG..!
Mkuu #Mburukenge wamekimbia jukwaa, leo walikuwa wamejiandaa kufanya karamu hapa.
#InGunnersWeTrust
Mkuu #TeamMburukenge wanaendelea kujiudhi tu Imekula kwao na sasa tunasubiri kiama chao. Naona humu ndani wamefyata Mkia wameamua kuaga bila kuondoka oooops sorry wameondoka bila kuaga.
We are watching you
Duh! Goons bana, wanasheherekea droo na man shitty nyumbani kwao 😂😂😂😂
That's shows how wee is the club 🙈🙈🙈🙈