Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ohoooo izo free kick za hapo zinakuanga sio nzuri kabisa
 
Arsenal, piga cha pili hawa Besiktas,

Jamaa nao wanaonekana wamekuja na game plan.

Dakika inakwenda ya 57

Besiktas wanapig mpira wa adhabu ndani ya mita 28 na unakwenda juu ya goli la Arsenal, "what a waste"
 
Reactions: Mbu
Beautiful Drive ya Jack Wilshere na anampa pasi Mesut Ozil na anaangushwa na beki wa Besiktas P Franco

Arsenal wanapiga mpira wa adhabu.

Cazorla anapiga na mpira unakutana na Mathieu Debuchy lakini anapiga kichwa na mpira unakwedna pembeni ya goli.

Dakika inakwenda ya 61
 
Arsenal, piga cha pili hawa Besiktas,

Jamaa nao wanaonekana wamekuja na game plan.

Dakika inakwenda ya 57

Besiktas wanapig mpira wa adhabu ndani ya mita 28 na unakwenda juu ya goli la Arsenal, "what a waste"

.....for real, wanavizia hizi deadballs,....free kicks & penalty.

#ArsenalWeNeedAnotherGoal !!!!
 
Besiktas wanafanya mabadiiko na Ghokan Tore anaingia badala ya Sahan.

Demba Baaa! anakosa na mpira unakwenda pembeni ya goli.
 
......#DembaBa,......mnh?! :A S 41::A S 41::A S 41:


ComeOnArsenal!!!!!!
 
Arsenal wanawapa hawa jamaa nafasi hasa katikati. Close them down!!! Score another goal
 
COYG

Meneja Slevan Bilic anauma meno nje akiwa amekaa kwenye chumba cha wakurugenzi.

Sasa Arsenal ni lazima wapige cha pili hapa.

Dakika inakwenda ya 69

Mzee Wenger atakuwa akiwaza ni nani wa kumpumzisha.

Nafikiri Santi Cazorla amepooza kidogo leo.
 
come on arsenal! ...come on arsenal! ...come on arsenal!!!...
 
1st Red Card...
Wacha game iendelee


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Alex Chamberlaiiiiiiin oh no anakosa yeye na kipa

Debuchy nae anapewa kadi ya pili ya njano anakwenda nje!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…