palalisote JF-Expert Member Joined Aug 4, 2010 Posts 8,335 Reaction score 1,463 Aug 27, 2014 #35,861 Sizinga said: Sanchezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...............1-Nil, mapumziko Click to expand... hongera kijana maana ulikuwa umeshikwa na simanzi
Sizinga said: Sanchezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...............1-Nil, mapumziko Click to expand... hongera kijana maana ulikuwa umeshikwa na simanzi
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,876 Aug 27, 2014 #35,862 utafiti said: Mbu uko wapi mkuu?? Click to expand... .....nilikuwa nashangilia kwanza!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,876 Aug 27, 2014 #35,863 Richard said: Kuna options nje kwa washambuliaji Sancheeeeeeeeeeez Arsenal 1 Besiktas 0 ni Click to expand... ....#AlexisSanchez kiukweli hili goli litamsaidia confidence, maana....
Richard said: Kuna options nje kwa washambuliaji Sancheeeeeeeeeeez Arsenal 1 Besiktas 0 ni Click to expand... ....#AlexisSanchez kiukweli hili goli litamsaidia confidence, maana....
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Aug 27, 2014 #35,864 Mbu said: .....nilikuwa nashangilia kwanza!!! Click to expand... Una namba ya wenger hapo? Nataka nimkumbushe kumuingiza sanogo naona washalegeza kamba hawa
Mbu said: .....nilikuwa nashangilia kwanza!!! Click to expand... Una namba ya wenger hapo? Nataka nimkumbushe kumuingiza sanogo naona washalegeza kamba hawa
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Aug 27, 2014 #35,865 Arsenal Mashuti yalopigwa 5 On target 2 Goal 1
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 52,564 Reaction score 119,621 Aug 27, 2014 #35,866 Bado mechi ngumu..!!
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,876 Aug 27, 2014 #35,867 utafiti said: Una namba ya wenger hapo? Nataka nimkumbushe kumuingiza sanogo naona washalegeza kamba hawa Click to expand... hahahah...yeah, #Sanogo ni type ya wachezaji kama "Jenerali" Juma Mkambi miaka ile. Yaani anauwezo mkubwa wa mikikimikiki pale mbele halafu mfungaji anakua mwingine.
utafiti said: Una namba ya wenger hapo? Nataka nimkumbushe kumuingiza sanogo naona washalegeza kamba hawa Click to expand... hahahah...yeah, #Sanogo ni type ya wachezaji kama "Jenerali" Juma Mkambi miaka ile. Yaani anauwezo mkubwa wa mikikimikiki pale mbele halafu mfungaji anakua mwingine.
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,876 Aug 27, 2014 #35,868 Eli79 said: Bado mechi ngumu..!! Click to expand... .......yeah, ila hili goli limetupunguzia tension kidogo.
Eli79 said: Bado mechi ngumu..!! Click to expand... .......yeah, ila hili goli limetupunguzia tension kidogo.
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Aug 27, 2014 #35,869 Mbu said: ....#AlexisSanchez kiukweli hili goli litamsaidia confidence, maana.... Click to expand... Kabisa, Amekuwa under pressure hasa baada ya Giroud kuwa imethibitishwa ameumia. Lakini atapata mori zaidi kucheza kwa maelewano mazuri na Cazorla, Ozila, Wilshere na Chamberlain na ile milioni 35 ilolipwa itakuwa imekwenda sawa.
Mbu said: ....#AlexisSanchez kiukweli hili goli litamsaidia confidence, maana.... Click to expand... Kabisa, Amekuwa under pressure hasa baada ya Giroud kuwa imethibitishwa ameumia. Lakini atapata mori zaidi kucheza kwa maelewano mazuri na Cazorla, Ozila, Wilshere na Chamberlain na ile milioni 35 ilolipwa itakuwa imekwenda sawa.
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Aug 27, 2014 #35,870 Sasa hivi MK Dons wanachungulia tu kwa mbaaaali.
WISE 2012 JF-Expert Member Joined Mar 13, 2012 Posts 634 Reaction score 460 Aug 27, 2014 #35,871 hahaaaaa
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Aug 27, 2014 #35,872 Timu zaingia dimbani Besiktas wakitangulia
Nyaluhusa87 JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 1,303 Reaction score 262 Aug 27, 2014 #35,873 Second half ndo inaanza!! Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Aug 27, 2014 #35,874 Waturuki wamepoteana kabisa hahaha
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Aug 27, 2014 #35,875 COYG Kiputa kinaanza upya Ikumbukwe kwamba meneja wa Besiktas Slavan Bilic na mashabiki maana amefungiwa kwa mechi mbili kwa kumtukana mwamuzi wa akiba kwenye mechi ya kwanza. Hakuna mabadiliko kwa timu yoyote
COYG Kiputa kinaanza upya Ikumbukwe kwamba meneja wa Besiktas Slavan Bilic na mashabiki maana amefungiwa kwa mechi mbili kwa kumtukana mwamuzi wa akiba kwenye mechi ya kwanza. Hakuna mabadiliko kwa timu yoyote
Piere. Fm JF-Expert Member Joined Mar 10, 2011 Posts 2,261 Reaction score 1,253 Aug 27, 2014 #35,876 Mbu said: .......yeah, ila hili goli limetupunguzia tension kidogo. Click to expand... Hakika goli limesaidia kupunguza presha.
Mbu said: .......yeah, ila hili goli limetupunguzia tension kidogo. Click to expand... Hakika goli limesaidia kupunguza presha.
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Aug 27, 2014 #35,877 Santi Cazorla anapiga shuti ya chini na Sanchez anachelewa kuunganisha na mpira unakwenda nje na kuwa goalkick. Dakika inakwenda ya 5
Santi Cazorla anapiga shuti ya chini na Sanchez anachelewa kuunganisha na mpira unakwenda nje na kuwa goalkick. Dakika inakwenda ya 5
Mbu JF-Expert Member Joined Jan 11, 2007 Posts 12,752 Reaction score 7,876 Aug 27, 2014 #35,878 We need a 2nd Goal ASAP, πop2:πop2:πop2:.....WE NEED TO KILL-OFF THIS GAME!
Richard Platinum Member Joined Oct 23, 2006 Posts 16,667 Reaction score 25,700 Aug 27, 2014 #35,879 COYG Sacheeeeeeez du anakosa Inapigwa kona na inapotezwa na Arsenal
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Aug 27, 2014 #35,880 Aise goli moja halitoshi kabisa maana hawa jamaa wakipata drawn ya magoli wao wanaendelea sisi out