Arsenal (The Gunners) | Special Thread

.......😛op2:😛op2:😛op2:,.....#TemperatureRising? Nooo, ila hawa jamaa wana Simulate diving kuliko Ashley Young!​
 
Arsenal wasipoangalia tutakuwa tunachekana na kina United na Spurs..
 
Jack Wilshere ana bahati sana, anamkwatua mchezaji wa kiungo wa Besiktas ndani ya duara ya Arsenal na mwamuzi anasema hakuna penalty.
 
Arsenal wasipoangalia tutakuwa tunachekana na kina United na Spurs..

Hakuna icho kitu mkuu, ila tumechoka kila mwaka tunaingia uefa kwa style hii...sisi wakubwa bana mambo haya wafanye man u au liverpool
 
Mbele tunaingiliana Alexis atachukuwa muda kufit in na timu
 
ARS 1-0 BES

Sanchez


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Sanchezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz...............1-Nil, mapumziko
 
Reactions: Mbu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…