wasiwasi wa nini wakati "unaongoza" ligi?😉hapo kwenye defensive midfield ndio napaogopa sana mkuu.kipindi hiki kigumu kinakuja ndio maana nilikuwa naomba cameroon watolewa mapema tu lol.wenger achelewi kumueka campbell beki na kumpeleka varmelen midfield pale kama tukizidiwa.
wasiwasi wa nini wakati "unaongoza" ligi?😉
...Denilson anasawazisha..
...Denilson anasawazisha..