😡😡😡😡 mmejilamba midomo..
Haaaaa...well-done angalau.!!
2-2 Mkuu tumeponea tuu la sindano.
FT Everton 2-2 Arsenal
Angalau tumetoka na point moja kuliko kukosa kabisa point
Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
your wrong my dia dk zikizobaki ni zenu wote
Full time: Everton 2-2 Arsenal
Arifu ulikuwa umejibanza kwenye dimbwi la maji machafu wapi?!? 😂😂😂
Dah!!!! Angalia jinsi ulivyonuna Mkuu hahahahah lol!!!! Pole sana....Kumbuka kununanuna ni adui mkubwa sana wa moyo wako ππ