Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  • 39'
    Arsene Wenger remains frustrated as Crystal Palace continue to take their time when the ball is out of play. The visitors look far more confident than they did at the start of the game, and these constant stops in play are just what they want.
 
Hope litarudi tu hilo goli na tutapata la ushindi


Sent from my iPhone 4s using JamiiForums
 
  • 45'
    The fourth official has indicated that there will be two minutes of added time.
 
Arsenal 1-1 Crystal Palace - Laurent Koscielny levels for #afc with a header of his own on the stroke of half-time
 
Mie naona kuna point tatu hapa na goli tatu, hivyo kuna goli mbili zaidi.

Aaaaaah afadhali maana kipresha kilikua kinapanda.
Jamaa yangu mmoja ananiambia team yake imepanda hadi nafasi ya 15 kutoka 20 iliyokua jioni ya leo
 
Still, a true defensive midfielder is a must for the gooners....!
....Kwa line up kama hii mechi ngumu tutapigwa, Arteta na Wilshere hawawezi kucheza pamoja vizuri...!!
 
Mapumziko Arsenal 1 Crystal Palace 1

Kwa kweli goli lilisababishwa na Laurent Koscielny na ni yeye mwenyewe amesawazisha.

Kwa kweli timu inakwenda mapumziko lakini mzee Wenger ambadilishe Yaya Sanogo na aingie angalau Joel Campbel kule mbele na baadae Olivier Giroud.

Hii game ni rahisi sana kushinda na tunahitaji mmaliziaji mzuri, itakuwaje tufungwe na timu ambayo haina meneja?
 
HALF-TIME Arsenal 1-1 Palace. A tale of two defenders as Koscielny cancels out Hangeland's earlier effort to leave things level at the break
 
Back
Top Bottom