Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jamani Gunners wenzangu na mimi nimekuja rasmi humu kuwaongezea nguvu dhidi ya makurumbembe kama Nzi, Ntuzu, Belo na Mentor nilikuwa viewer tu, nimeona kuna haja ya kuwa active.
 
ARSENAL FOOTBALL CLUB
2014/2015
GOALKEEPERS
Szczesny

DAVID OSPINA

MARTINEZ

DEFENDERS

PER METERSACKER

LAURENT KOSCIENLY

CHAMBERS

GIBBS

DEBUCHY

BELLERIN

MONREAL

MIDFIELDERS
ARTETA (C)

RAMSEY

WILSHERE

ROSICKY

MESUT ÖZIL

CARZOLA

DIABY

FLAMIN

COQUELIN

ZALALEM

FOWARDS

Lukas Podolski

Olivier Giroud

Theo Walcott

Alex Oxlade-Chamberlain

Alexis Sanchez

Yaya Sanogo

Serge Gnabry

Joel Campbell

Ryo Miyaichi

Sasa wakubana endeleeni kubana
 
Asernal kazi Yake kusindikiza timu nyingine, kila msimu Maneno hayo hayo

kusindikiza sio, nilidhani huu wimbo uliisha May 20,2014 kumbe bado unaendelea lol . Man United mlifanya nini msimu uliopita kati ya Arsenal na Man United nani aliyeondoka mikono mitupu ? Tangu lini kubeba Kombe kukawa ni kusindikiza ?
 



Prof kama kawa, ready for tomorrow's game bring them on.. COYG
Media yote wanafuata nyayo za Gunners .... ....

naona hapa ss3 wanamhoji yeye tu na ziara zake marekani
ha ha ha ha

#coyg
 


Chambers na Lukas kwenye mazoezi ya mwisho mwisho ... ...




Alexis alikuwepo ... .... ..




Thomas na Jack ... ..... ..




Ready to Ramboooooooooooooooooooooooooooooooooo

Aron Ramsey aka Rambo




Mesut .... ... ndio kwanza karejea ... ... ..




Diaby ..... ... expect more from this guy .. ..




Santi .... .. Caz caz ..... . ..



showing the way Le Proff .... .... ..


 


Ox and Yaya Sanogo ... .. ..



BTW prof kachema anategemea Theo kuwa ready mwisho wa mwezi, vile vile mchezaji machachari Joel Campbell haendi kokote .... ..
 
eti leo nimekaa maskani kuna mtu akaniuliza umeshindaje nikamjibu tatu bila eti nilikosea ?

maana kanuna huyo

#Coyg
 
Msimu huu tukiwafunga man utd tu ubingwa wetu.Hii mishetani imetutia gundu kwa kipindi kirefu sana.Na siku tukiyapiga bao nitawakojolea mashabiki maandazi wao wote.Nyambaf
 
Kesho shughuli ndiyo zinaanza rasmi. Shughuli ambazo huwaletea furaha kubwa sana wapenzi wa timu mbali mbali zinazoshiriki EPL na wengine kuwa na majonzi ya hali ya juu.

Usajili wetu wa mwaka huu ni mzuri ukilinganisha na wa zaidi ya miaka mitano iliyopita. Tukiweza kuepuka majeruhi ya kutisha na ya muda mrefu basi ngome za timu nyingi za EPL zitakuwa na kazi kubwa sana kuhakikisha nyavu zao zinakuwa salama kutokana na mashambulizi ya mara kwa mara ya safu ya ushambuliaji.

#InGunnersWeTrust
 
Kwa leo naomba nishabikie CARDIF kw mkopo.

Grand PA
 
Naona msimu unaanza Leo..Muda mfupi ujao kipute kitaanza...Pazia la EPL 2014/2015 kufunguliwa rasmi....

Kila la heri Gunners wenzangu wa ukweli...

COYG...

Once a Gunner...Always a Gunner...

Together We Stand....

Bala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…