Hahahahaha! Hongereni sana kwa ushindi....endeleeni kupasha joto hapo juu kabla ya wenye kiti hatujarudi kutoka likizo.😉
Mzee unakomaa mpaka basi,anyways game imeisha,tumeshinda 4-2
...Now you are talking. Ahsante sana 😀
hayo ya kupasha kiti moto, sijui likizo, sisi hatuelewi.
Hongereni wakuu.
Naona mpo kileleni....sijui kwa m'da gani lakini.
Mkuu kweli tupo kileleni lakini mechi zifuatazo zinanipa headache zinafululiza mechi mbaya sana kwetu angalia hii hizo mechi nne mfululizo hapo pekundukwa muda mrefu ujao🙂🙂🙂
kwa muda mrefu ujao🙂🙂🙂
Mkuu kweli tupo kileleni lakini mechi zifuatazo zinanipa headache zinafululiza mechi mbaya sana kwetu angalia hii hizo mechi nne mfululizo hapo pekundu
24SunThe FA CupAStoke City 13:30 ITV1 27Wed Barclays Premier LeagueAAston Villa 19:45 ATVO 31Sun Barclays Premier LeagueHManchester United 16:00 SS1 FebruaryFA 07Sun Barclays Premier LeagueAChelsea 16:00 SS1 10Wed Barclays Premier LeagueHLiverpool 19:45 SS1 13Sat The FA CupNRound 5 ATVO 17Wed UEFA Champions LeagueAFC Porto 19:45 ATVO

Gaadem mhuni wangu,
sijui niseme ni uzalendo ama ubishi ama nguvu za soda?
Haya tusubiri. Naona hata Man U hamuwataji tena kama tishio.
Kaka 100% hapo umenenaNever Give Up
mkuu naona umezoea wewe na man united kubebwa tu sisi unaona haramu sio. unaulizia fair play mbona juzi denilson alivyoumia ukuulizia fair play kutoka kwa everton? acha sisi tu-enjoy ushindi mkuu.Try to be honest, hilo bao la pili refa kachemka....Gallas alistahili kadi nyekundu kwa hiyo foul....na Arsenal hata bila aibu hawakutaka kutoa mpira nje...no fair play there!