Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,032
source ya deni la man utd ni hela alizokopa glazer[rip] kununulia timu ndio maana man utd fans wanamchukia huyu marehemu!! bila glazer kukopa hela ili ainunue hii timu man utd isingekuwa na deni...
Hebu fafanua hapo, deni la glazer la kuinunua timu lihamie kwa timu aliyoinunua.
mkuu hapo umeongea ukweli na mueleze vizuri huyo WACHA1 manaake anajifanya anajua sana eti barca wamemuuza fabregas kwa kuondoa madeni wakati barca hao hao msimu huu wamenunua wasiopungua 4 na bado kuna wachezaji zaidi ya 3 watatu wanawafatiliaumetaja business models za Arsenal na Dortmund, lakin nashangaa umeiacha Liverpool hii Ya FSG, Benifica, Shakhtar donestk etc..
Kwenye suala la Barca na kina Febregas & Sanchez, nadhan waliziforce zile moves ili kugenerate fee ya suarez, Racktic, RB na CB, sidhan kama waliuza kulingana na matatizo ya kifedha unayoyazungumzia..na lazima watoe wachezaji mzigo ili kuleta faces mpya coz ban yao inaweza ikaanza next summer, thats why wamewatoa Kina Cesc, Sanchez, then kina Tello, Serg roberto Mascherano na wengine wanafata..hizo ni plan tu za Club..they bought suarez for £75m, racktic around £20, Mathieau (valencia) pia kawakost hela nyingi, mia na kitu ishafika, na bado wanamuhitaji marqinho au hummels, which will cost them pounds..thats why they're affloding surplus players now.
I thought guardiola wanted Alves, Villa, Cesc, Pedro, And some others OUT, ili kugenerate watoto wake kina Alcantara, Cuenca, tello, robert, Montoya..Ambapo rosell aligomea huo upuuzi, Na if i remember collectly Pep alimkataa Javi Martnez kipind kile yupo bilbao (Jamaa akaenda Bayern) na you can see mda mdogo wa kucheza anaopata Javi chini ya Pep pale Bayern sahiv...Pep mwenyewe alikuwa muoga..ile power ya Barca ilikuwa ishaanza kupungua..ndo maana akakimbia..And RMA, ManUTd and even you Arsenal disposed his weaknes kwenye UCL iliyopita.
Sijui kwanini, Lakini huwa inakuwaga ni NGUMU sana Clubs zenye uwekezaji mkubwa kama RMA, ManUTD, BARCA na BAYERN kutokuwa na madeni.
Hivyo Arsenal hawashindwi kumlipa Khedira hizo 150,000 kwa wiki ila kuna masuala ya "risks" za kuangalia kwamba Khedira amekuwa na tatizo kama la Vasiriki Diaby ambae kutwa yupo majeruhi na hivyo kushindwa kucheza kwa program inayopangwa.
.
tetesi ni kuwa Tumesha msign Ospina sasa kilichobakia mzee atushushie defensive midfilder pale kati wa ukweli
WENGER OUT NOW! itakuwaje tufungwe na Yankees ?
Wenger anataka kutengeneza Fabregas mwingine.
Ni mchezaji wa saba kuhamia Arsenal kutoka Barcelona akiwafuatia akina Cesc Fabregas, Fran Merida, Jon Toral, Hector Bellerin, Julio Plequezuelo na bila kumsahau, Alexis Sanchez.
MY TICKET IS HERE!!!!! JULY 26 I'M GOING TO WATCH MY TEAM-O vs NEW YORK RED BULLS!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! #TeamWakaangaSumu kaeni mkao wa kula tutawapa kipigo cha mbwa mwizi kama walichofapata Brazil.
Kama mambo yatakwenda ilivyopangwa, tarehe 10 mwezi huu Arsenal watatangaza aina mpya ya uzi wa Puma ambao umebeba deal la paundi milioni 150 ambazo ni pesa nyingi sana kuweza kutolewa kwa timu ya PL kama ya Arsenal.
Dau hili la ufadhili linazidi paundi milioni 30 ambazo NIKE walikubaliana na Manchester Utd miaka kadhaa ilopita.
Nzi acha hoja za mitaani na kwenye mtandao nani amekwambia arsena fc ilikuwa inamtaka huyo mchezaji tumemsajili debuch ndio changuo letu tena ana epl experience
Ooppsss! What happened dude?