Arsenal (The Gunners) | Special Thread

​​
Arsenal leading way in transfer market


Vijana watatimka kwenda NY hivi punde ...... ....... ....... We do not depend on sugar daddies .... .... Tajiri akifa na timu inakufa.

COYG
 
Mkuu msimu unaokuja Naona malengo ya Wenger yako juu zaidi.

Kila la kheri Arsenal Fc na gooners wenzangu.

Karibu sana mkuu za masiku?

Huku Alaska summer tu chacha ..... .... .... .... .... ... ... baridi tumewaachia bongo .... .... .

 
Reactions: Mbu



Mpango mzima wa season tickets huu hapa.. .... ... ... . ... .
 
Reactions: BAK


Unfair: BBC presenter Gary Lineker says
price rises are unjustified considering TV revenue

Haka Ka Gary hakaongelei mpunga kanakopata wakati wa ile promotion ya chips wala more than £40,000.00 anazolipwa kwa saa anapokuwa match of the day. .... ...... .. Which is more unfair? I wonder!
 
Reactions: Mbu
Aurier kafuata pesa PSG...mtabaki mkijifariji eti alionekana kavaa jezi ya goons, hivyo anataka kwenda goons!!
 


Aaron Ramsey takes a Game of Thrones box set
with him for the seven-hour flight



Wilshere poses for a selfie on the plane
with Arsenal goalkeeper Szczesny









Thumbs up: Szczesny smiles to the cameras
as he makes his way on to the plane




Spanish armada: Mikel Arteta, centre,
dons some travel socks for the long journey





Abou Diaby and Chuba Akpom lean back
and relax on the Arsenal plane





Mathieu Flamini and Tomas Rosicky








Selfie-time: Ramsey takes a selfie with team-mates
Flamini, Monreal, Rosicky, and Gibbs, front left










Jon Toral huyo .... ....


Kabla ya kutimka vijana walifanya mazoezi Colney ... .... ...
 
Mkuu Wacha1 mambo vipi?

Arsenal wapo US na watakuwahuko kbla ya kurudi kwenye Emirates Cup.

Bado mipango ya usajili inafanyika ili kuamua ni yupi kati ya Sami Khedira, Lars Bender au William Carvalho asajiliwe.

Pia kuna suala la Vermaelen ambae anataka kwenda Man Utd lakini ni mpaka tutakapopata beki mwingine wa kuziba nafasi yake.

Halafu kuna kipa bado kuwa confirmed kwamba amesajiliwa na badki mwingine.
 

Mambo mazuri tu mkuu mwaka huu patachimbika tuombe uzima tu .. ... ... Ospina hana ujanja anamalizia tu maswala ya usajili hakuwahi trip ya USA kwa sababu ya likizo wachezaji wengi waliokuwa world cup mechi za mwisho mwisho. Bender kifaa inategemea kama anataka kwenda next level aje emirates... Khedira anataka pesa nyingi I don't fancy him, umri umekwenda sana less than 3 years T5 ataondoka tu nataka amfuate Judas (si walikuwa wote holiday Khe khe kheeee) kama prof atapata replacement kwa sababu mwaka huu wako makini sana na wachezaji kuumia na kutokuwa na cover ya kutosha. William Carvalho is Ok lakini inategemea kwa sababu mkataba wake una hitaji euro 45 million which is not a problem kwa Gunners. Pochi imefunguliwa lakini sio kuchaguliwa wachezaji na media patamu hapo. Diaby mwaka huu ata-shine na wachezaji wako wengi hivyo ushindani utakuwa mkubwa sana .... .... ... all in all mambo mazuri sana.

COYG
 


Prof kamnyakua huyu dogo kutoka Barca .... ...
German youngster Georgios Spanoudakis has signed for Arsenal

Wenger anataka kutengeneza Fabregas mwingine.

Atacheza kama central midfielder.

Huyu dogo alianza kusakata kabumbu akiwa na umri wa miaka 5.

Alisajiliwa na Barcelona Academy mwaka 2009 akiwa na miaka 9.

Ni mchezaji wa saba kuhamia Arsenal kutoka Barcelona akiwafuatia akina Cesc Fabregas, Fran Merida, Jon Toral, Hector Bellerin, Julio Plequezuelo na bila kumsahau, Alexis Sanchez.

Kama jambo ambalo limepangwa vile, wachezaji wengine saba walikwenda kuchezea Barca akina Marc Overmars, Emmanuel Petit, Giovanni van Bronckhorst, Thierry Henry, Alexander Hleb, Fabregas na Alex Song.

Mwisho, huyu dogo ana umri wa miaka 15 lakini tayari ni mrefu wa futi 6.
 
Aurier kafuata pesa PSG...mtabaki mkijifariji eti alionekana kavaa jezi ya goons, hivyo anataka kwenda goons!!

Lengo halikuwa Serge Aurier bali lengo likuwa kumpata RB na tayari tushampata Mathew Derbuchy ambaye ni RB Mzuri na mwenye expirience na EPL so Aurier hana nafas tena hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…