Ndiyo ubaya wa hizi mechi za back to back. Jamaa wanakuwa bado na usongo cha kipigo cha mchezo waliopita. Nilikuwa na wasiwasi kwamba they are going to jump on us with a quick goal or two na wasiwasi wangu umekuwa kweli. Na hatuna rekodi nzuri ya kupanda mlima mrefu kiasi hiki. Vijana wajitahidi angalau tuambulie hata kapoint kamoja. 🙁