#Mburukenge huyu atakuwa jamaa yake Nzi lol!!! maana usongo wake si wa kawaida. Anajua wenye nyumba tuko likizo basi kaona kapata nafasi ya kuosha kinywa.
Dah Arsenal tumechemsha kwa kutomsaini Fabregas hata kama tuna vifaa vingine kama yeye angetusaidia katika benchi.
#Mburukenge huyu atakuwa jamaa yake Nzi lol!!! maana usongo wake si wa kawaida. Anajua wenye nyumba tuko likizo basi kaona kapata nafasi ya kuosha kinywa.
.......dahhh, ama kweli paka akiondoka panya anatawala!....
tupo likizo kumbe huku kuna #Mburukenge wanachafua hali ya hewa...
6-0 ndo zinafanya utumie lugha ya matusi? alaf na wewe unajiita great thinker?:shock:
Acha kukurupuka wewe!!! Unayajua matusi wewe? Hebu niambie hapo lipi ni tusi? Kama lugha inakupiga chenga kaa chini ujifunze. Usivamie mahali bila kujua taratibu za waliokuwepo kabla yako.
Dah Arsenal tumechemsha kwa kutomsaini Fabregas hata kama tuna vifaa vingine kama yeye angetusaidia katika benchi.
Acha kukurupuka wewe!!! Unayajua matusi wewe? Hebu niambie hapo lipi ni tusi? Kama lugha inakupiga chenga kaa chini ujifunze. Usivamie mahali bila kujua taratibu za waliokuwepo kabla yako.
ili iweje?
nini maana ya mburukenge?
Kiswahili sanifu; mburukenge = bomla au kenge. sasa mimi kenge?
mark my words ipo siku tutaheshimiana tu.:fencing:
kuna tofauti kubwa kati ya umri wa kalenda[calendar age] na umri wa akili[mental age] nadhani umenielewa.
neno mburukenge halikupaswa kutoka kwako wewe unayejidai ni mkongwe hapa jamvini. Tena umri wako wa kuwa hapa tangu 2007 haujakusaidia kabisa ndugu.
Lakini ni dalili ya kuishiwa hoja. tunapaswa kukubaliana kutofautiana, siyo kutoa lugha zenye maana tata.
CHELSEA FC - BLUE FOREVER.:israel:
.....hahahaa, hapana kaka wewe sio kenge, wewe ni mmoja kati ya #MburuKenge ,..... Mkiwa wengi humu tunawaita MburukengeUnited!
#MosKwito !
back to football.
:focus:
MANAGERIAL SILVERWARE
MOURINHO:
Porto: Primeira Liga (2003, 2004); Portuguese Cup (2003); UEFA Cup (2003); Champions League (2004).
Chelsea: Premier League (2005, 2006); League Cup (2005, 2007); FA Cup (2007).
Inter Milan: Serie A (2009, 2010); Italian Cup (2010); Champions League (2010).
Real Madrid: Primera Division (2012); Copa del Rey (2011).
WENGER: Monaco: Ligue 1 (1988); French Cup (1991).
Grampus Eight: Emperor's Cup (1996); Japanese Super Cup (1996).
Arsenal: Premier League (1998, 2002, 2004); FA Cup (1998, 2002, 2003, 2005).
lol!!!!! Hahahahahaha #Mburukenge huyu anadai katusiwa!!!! Unakuja mahali badala ya kutulia na kuangalia utaratibu uliokuwepo unaanza kukurupuka na kuandika madudu lol!!!! hahahahahahah bora tuko likizo!!!! au ingekuwa kasheshe hapa ππ
Kwa hiyo mimi ndiyo mwenye usongo usio wa kawaida?!? Vipi mmejiandaa vipi na miaka mingine ya 'mawimbi' ride chini ya Arsene Chenga?
lol!!!!! Hahahahahaha #Mburukenge huyu anadai katusiwa!!!! Unakuja mahali badala ya kutulia na kuangalia utaratibu uliokuwepo unaanza kukurupuka na kuandika madudu lol!!!! hahahahahahah bora tuko likizo!!!! au ingekuwa kasheshe hapa ππ
lol!!!!! Hahahahahaha #Mburukenge huyu anadai katusiwa!!!! Unakuja mahali badala ya kutulia na kuangalia utaratibu uliokuwepo unaanza kukurupuka na kuandika madudu lol!!!! hahahahahahah bora tuko likizo!!!! au ingekuwa kasheshe hapa ππ
shabiki wa msimu?:horn:
respect the game of football; talk football.:whip: