...mnh, miti inaanza tena kuteleza nini? ...anyway labda kipindi cha pili... ubaya janmaa nao wakiamua kucheza ile formation ya Chelski kwenye CL ya 5-5-0...
Wake up call hii kwa Mr Wenger, tunapiga kelele kila siku asajili DM wa maana, (Song akiwa hayupo/Majeruhi) na Striker wa Ukweli, maana RVP ndiye tegemeo pekee, yeye kauchuna tu na hizo £30m...
Anyway, tuangalie kipindi cha pili,...
IN ARSENAL I BELIEVE! 😀