Asante ndetichia ...Nawe pia hongera kwa EPL....Hongera sana wazee wa east london..
dah!kuna watu wanatamani iwe ndoto tu waamke asubuhi wakute tofauti,ila ndo ukweli thatha ARSENAL KACHUKUA NDOO TAYARI...
anti-gunnerz sageni chupi mnywe!
Nzuuuuuuuuri saaaaana. Sijui za kwako wewe.