Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Hata ingekuwa miaka 20 Chifu bado tungekuwa na Arsenal yetu tu....Miaka 7?!? Ni miaka 8, miezi 11 na siku 25. Yaani, zilibaki siku 5/6 iwe miaka 9!!
Hivi Chifu, wanaopaswa kuumia kwa timu yao kukosa trophies in 9 years ni nani hasa?, ni wewe ama sisi mashabiki wa Arsenal?...Yaani unaonekana kuumia sana kwa Arsenal kukosa kombe kwa miaka 9....Nijifariji kwa lipi arifu? Kwamba naona wivu goons kushinda? No way my chief!!
Hili si jukwaa la michezo ama?! Mbona nyiye uwa mnakuja na mbwembwe zote kule kwetu?
Kwa hiyo hamtaki utani ama?
Haya bana ngoja niwaache mabingwa wa Football Association Cup.
Lakini, ukweli utabaki, ni kuwa 1 trophy in 9 years is an indication of failure.
#WengerIn
Miaka 7?!? Ni miaka 8, miezi 11 na siku 25. Yaani, zilibaki siku 5/6 iwe miaka 9!!
mkuu lakini ndio wameshinda Kombe tusiwe na chuki binafsi tuwape Hongera sababu tukiwa hivi hatutokuwa na tofauti na tabia tunazomsema Morinho? Tukumbuke na kuwapa Hull pole kwani ndio waliocheza na Arsenal na Arsenal Wana haki yakupewa Hongera hata kwa Shingo upande haibadilishi Kama Arsenal kashinda Kombe hayo ya Fulani alishinda ngapi yashapita.Look what has happened in the goons' 9 barren yearsView attachment 158900
Hawezi kukuelewa huyo....Ana mzio na Arsenal....Anajisahau kama yeye katoka kapa msimu huu.....Mzee wa namba 7mkuu lakini ndio wameshinda Kombe tusiwe na chuki binafsi tuwape Hongera sababu tukiwa hivi hatutokuwa na tofauti na tabia tunazomsema Morinho? Tukumbuke na kuwapa Hull pole kwani ndio waliocheza na Arsenal na Arsenal Wana haki yakupewa Hongera hata kwa Shingo upande haibadilishi Kama Arsenal kashinda Kombe hayo ya Fulani alishinda ngapi yashapita.
Dah! Kweli ukame mbaya...jamaa utafikiri wameshinda UCL?!?
mkuu lakini ndio wameshinda Kombe tusiwe na chuki binafsi tuwape Hongera sababu tukiwa hivi hatutokuwa na tofauti na tabia tunazomsema Morinho? Tukumbuke na kuwapa Hull pole kwani ndio waliocheza na Arsenal na Arsenal Wana haki yakupewa Hongera hata kwa Shingo upande haibadilishi Kama Arsenal kashinda Kombe hayo ya Fulani alishinda ngapi yashapita.
Duh Mkuu una kumbukumbu sana...!!My Greetings to TB Joshua na utabiri wake sa Sijui ndo utageuzwa isemwe hakumaanisha hivyo, eti arsenal haitachukua kombe mpaka flani awe mfalme!!! my nose ..kesho utasikia watetezi wakisema Kuna mtu Ali hack account yake
Mbona mpaka dakika hii hamna update? Game Theory, Invisible, Maxence Melo, Moderator hembu tutendeeni haki, Wekeni UPDATE HII sredi
The Wenger Years - Overview
How the Frenchman revolutionised Arsenal on and off the pitch
Jamani humu ndani tutadiscuss klabu yetu ya Arsenal na kubadilishana mawazo jinsi gani tunavyoendelea.
Duh Mkuu una kumbukumbu sana...!!