Goli la bahati lile toweni wasiwasi Leo hata Mie nataka Arsenal washinde Piere. Fm na Rubaman toweni Shaka game hii inaishia Arsenal 3-1 Ramsey au Ozil na Striker yoyote atafunga wa Arsenal watulie Arsenal mapema mno.
bado toweni wasiwasi kumbukeni game ya Liverpool na Westham ilikuwa vipi? FA Cup Final 2006 ndio Final inavyokuwa hapo pan atakuwa mashuti ya nje Carzola na Podolski Kama SG alichofanya kwa West Ham.
Dah!!!! Shughuli imeshakuwa nzito kuliko nilivyodhani, na hawa HC wakishakuwa motivated huwa kama nyuki sitashangaa wakiongeza goli nyingine mbili. Inabidi tuonyeshe sense of urgency na kuongeza speed vinginevyo itakuwa another sad ending.