Arsenal (The Gunners) | Special Thread

jana CHELSEA FC ilicheza "4-3-3" defensive.

kulikuwa na mabeki 4 kama kawaida:
kulikuwa na viungo wakabaji 3: Luiz, Lampard na Obi Mikel.
Kulikuwa na watatu wa mbele: Ramires; Willian na Torres.


kwani ARSENAL FC wana magoli mangapi msimu huu tena ukumbuke wamejenga kikosi kwa miaka 8.

CFC the pride of LONDON.


 
tukiwa peke yetu huwa tunapiga kazi hatucheki na mtu; kombe linanukia. tunahitaji kushinda mechi 2 tu kuwa mabingwa wa Ulaya..rahisi sana kuliko kuwa bingwa wa Uingereza.

Maana Uingereza lazima tushinde mechi zetu zote alaf tusikilizie matokeo ya wengine.
Usijali Mkuu wangu km utaweza pata ata access ya Internet huko utakuwepo, usisahau kupita ktk thread yetu chelsea muwakilishi peke ktk 19 za EPL ktk CL!

Khe Khe Khe Khe

Bhandugu Mwana wane Masanja,,,,,,Pamoja sn Mwana!
 


Cc: Sizinga
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana...After all Best Players wao wanaondoka mtu km Barry na Lukaku watarejea home baada ya Loan deal kuisha...Ross Barkley kuna uwezekano mkubwa akauzwa dau kubwa
 

Pamoja sana mkuu aacha tu hao The Toffies wabanduliwe wamepewa laana kwa kusasababisha bwana Daudi atimuliwe.
BTW sijui baada ya matokeo hayo ndugu yangu Mndengereko ana hali gani!?
 
Last edited by a moderator:

Pamoja sana...After all Best Players wao wanaondoka mtu km Barry na Lukaku watarejea home baada ya Loan deal kuisha...Ross Barkley kuna uwezekano mkubwa akauzwa dau kubwa

Remember this?

 
Mkuu wangu. Ninashukuru kwa kunishika sikio.

Sikuweza kuona match yoyote kwa vile nilikuwa barabarani naendesha kuelekea Scotland.

Umenifanya niwe na hamu sana ya kuangalia Match of The Day tonight.

This is half good news.

Hata hivyo tuna match ngumu sana on Monday na hawa The Magpies wanaoambatana kila match na Jeshi lao linalojiita The Toon Army.

Once a Gunner, Always a Gunner.
 
Pamoja sana mkuu aacha tu hao The Toffies wabanduliwe wamepewa laana kwa kusasababisha bwana Daudi atimuliwe.
BTW sijui baada ya matokeo hayo ndugu yangu Mndengereko ana hali gani!?
nimechukia sana coz nimewaona hawapo serious na top four ila kwa upande mwingine nimefurahi coz mkiipata top four na mkabahatisha kuchukua fa that means wenger anaendelea kubaki arasenal ambacho ni kitu kizuri anatupunguzia tittle contenders wa epl next season
 

teh teh teh teh haya bhana naona umeamua kuibadili furaha yako.
 

Wala usiwe na shaka Prof haendi kokote ingawa anatakiwa kule France kwa kitita cha £22 million after tax wakati Gunners wanampa £8 million tu. Huyu sio mediocre coach kama unavyofikiri.

Hivi unafikiri hilo jina na
Prof ni la maji marefu? khe khe khe khe keh khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Timu inayoogopwa kwenye EPL na ambayop imekwenda season bila kufungwa na kimburu yeyote. Tunaanza na FA cup then mtatukoma tu khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee Diaby on his way back, Jack on his way back, Rambo and Ozil already back stay tuned .... ... .... ...
 

weweseko!!
 
Bila shaka leo usiku Wazee wa Carpet wakiwa homeground wataendelea kunifurahisha, kila la kheri The Gunners....

Leo sitaangalia mpira nitakuwa nafuatilia hapahapa JF...nipo mazingira sio kabisa..
 

chief umenikumbusha mbali, MATCH OF THE DAY!! Bado ALAN HANSEN,GARY LINEKER na ADRIAN CHILLES wanahost hii show au washabadilishwa??
 
Leo sitaangalia mpira nitakuwa nafuatilia hapahapa JF...nipo mazingira sio kabisa..

bila shaka utaipata update hapa mkuu na kwa kuanza kikosi ni hiki hapa.
Sczeny langon,
sagna, per koscielny, monreal wapo nyuma,
arteta na Ramsey wapo mbele yao,
kisha kuna podosk, ozil na Cazorla.
Mbele kabisa yupo Giroud.
Subs fabiansk, kim, sanogo, rosisky, jenkson na Flamini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…