Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Sasa ndio mpira gani huu huyu refa hata kadi hatoi. naona wamempania Fad Aibu!

Huyu refa anaharibu mpira sasa.
 
duuuh chuma cha pili kile kilikuwa daamn.tunatakiwa tuwapige cha pili kabla half time hawa.

AW, Vijana wakitulia bado tuna goli mbili zaidi na J'tano tutawachapa tena na kujizolea six points toka kwao na kuendelea kula sahani moja na akina Chelsea na MANU.
 
AW, Vijana wakitulia bado tuna goli mbili zaidi na J'tano tutawachapa tena na kujizolea six points toka kwao na kuendelea kula sahani moja na akina Chelsea na MANU.
naona wameamka nawao tunahitaji goli pili haraka sana .tukifanya mchezo jamaa watatutoa nishai.
 
Duh! Almanusra.... nilishafumba macho
 
Kwechi kumuneti....sisi 2 wao 0...ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…