Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Naona mtanange unachezewa katiki na timu zote zinabadilishana kumiliki mpira.
 
Dakika ya 22 bado ni bila bila. Timu zote zinacheza kwa kuogopana vile.
 

My point ni kwamba tulifikiri FFP spending power ya timu kubwa itapungua lakini so far hakuna dalili na baadhi ya klabu zimeanza kutafuta option ya kukwepa hizo sheria,mfano
1.Kusaini mikataba mirefu ya wadhamini wa jezi ie Qatar,Emirates

2.Kuuza right za majina ya viwanja like Etihad,Sport Direct Arena na kuna tetesi kuna makampuni wanaitaka Santiago Bernabeu na Old Trafford
 
Hii mechi nimeamua kuiangalia come what may hata kama Wigan watatufunga!!!!!
 

Nimekupata mkuu.
 
Fortune anapiga attempt moja hatari hapa but Fabiansk anaukamata mpira.
 
HT na matokeo ni billa kwa bila.
BTW where are u fellow Gunners.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…