Ng'wamapalala
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 6,811
- 6,506
Theoretically, yes. Practically, not so sure.naona game ya arsenal vs everton inaweza kuamua kama everton wataweza kushika namba nne au la. wakishinda leo halafu wakiwafunga arsenal next game 4th place is theirs to lose.
Plus FA cup glory A complete Successive Season....Haters mtajibeba
what do you mean???successful season?? kwani FA cup si iko hatua ya nusu fainali??
ARSENAL...FIXTURES
WESTHAM (H)
HULL CITY (A)
WEST BROM (H)
NORWICH(A)
EVERTON FIXTURES
SUNDERLAND (A)
CRYSTAL PALACE (H)
MAN UTD (H)
SOUTHAMPTON (A)
MANCHESTER CITY (H)
HULL CITY (A)
Hii ni baada ya Kukutana Jumamosi ijayo Everton ubavu hawana hapa...Fixture yao imekaba watavutana na Manure na kwa mara ya kwanza katika Historia Everton na Spurs watamaliza juu ya Manure
We can even Finish 1st or 2nd if we will take maximum points....🙂
Game ya Everton ndo itaamua nafasi yetu...!! Lakini siiweki hofu kwani Everton hawaniumizi kichwa sana.
[SIZE=4 said:mfarisayo[/SIZE];9141872]Mpeni Muda kwa sasa timu nzima imechoka tu sio yeye peke yake hv Ozil yupo kweli
nachikia hamchikiki khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee umekuwa mpole kama ngamia khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kaache hako ka-belo kapayuke.