Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Mpira ni mapumziko, matokeo mpaka sasa ni kua ars 0-1 city
 
Kwann asipewe red kama faulu mbaya? Au ndo mbeleko?

Bila kujali ushabiki ni kweli silva alistahili kadi nyekundu ila mwamuzi katoa njano.
Wakati mwingine marefa wa UK hawana tofauti na mtaalam Webb
 
Pamoja ya kuwa mimi ni mpenzi na mnazi mkubwa sana wa Arsenal...lakini kwa game hii nawaombea Man City watufunge ili Chelsea wasichukuwe ubingwa. kila nikiikumbuka ile game yetu tuliyopigwa goli 6 na Chelsea bado
inanitesa na kunipatia uchungu mkubwa sana kwenye moyo wangu...mechi ile tulionewa,tulidhihakiwa na mwisho
tukapewa Red card ya kishenzi kabisa.

Ndiyo maana leo nasema niko radhi tufungwe na Man City ili Chelsea waumie na roho zao ukizingatia leo wamefu
ngwa na vibonde. Kwani hata kama Arsenal watashinda game hii hatuendi popote na wala hatuwezi kuchukuwa ubi
ngwa. Leo nipo upande wa Man City ila wasitufunge zaidi ya goli 3
 

teh teh teh teh pole kwa kuwa juu ya mti mkuu sasa ni halftime na tumebamizwa moja mpaka sasa.
 
Last edited by a moderator:
Arsenal mkishinda hapa mna nafasi ya kuongeza ushindani pale juu....kwani kuna hizi games:

a. Loserfools vs. Shitty
b. Loserfools vs. Chelskis

Hivyo, shindeni leo....ni mara kumi Arsenal ama Chelsea washinde EPL kuliko hao Shitty na Loserfools.
 

Duh! Kweli Maureen aliumiza mtima wako.
 

na iwe hivo
 

Mmh....Kaka,
Mbona kama umeshasoma alama za nyakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…