Wakuu wa Gunners hawa timu mburukenge wasiwatishe wanashinda kwa envelopes tu. Time will come kila chenye mwanzo kina mwisho Abraham anakufa na timu inakufa ''mark my words'' Ushindi wa rupia hauna furaha ya milele. Karibu nachukua ungo wangu kuelekea Emirates kuwashughulikia Mancs. Habari za uhakika ni kwamba hali ya hewa maridhawa kabisa na kijua kipo gado kuukaribisha mwaka mpya ooo ooo pps New financial year. Wale wenzangu na mie wasisahau tu summer time just around the corner, few hours .... .... .... .... .... .. asiyekubali kushindwa sio mshindani.
BTW wale waliokuwa wananisaka kwa udi na uvumba waje chacha na maswali yao ya kinoko. BTW kumaliza financial year na kutumia ngawira siyo nchezo nilikuwa busy na muda wa kuja kuteta huku haukuwepo thats all but gutted na refa mshenzi mechi yetu pale kwenye cow shed.[/QUOT
Karibu tena mkuu.
Congratulation for being back.
Home sweet Home.
COYG.