Wababe wenzio wamekushinda unataka kuonea wanyonge, taratibu unaanza kurejea kwenye nafasi yako, unawapisha wenyewe!. Pole!.
Za j'pili ni nzuri ndugu yangu Mbu, sionekani mashine yangu inasumbua sana hivi nafikiria kununua nyingine. Yaani sina raha nayo tena.
Chelsea anafungika tena kiulaini kabisa. Rosicky akianza kama leo mtawatungua Chelshit tena kwao.Tukiwagonga Chelsea next weekend, tutarudi ktk title race. Kumfunga Chelsea kwao chini ya Mourinho ni vigumu
Chelsea anafungika tena kiulaini kabisa. Rosicky akianza kama leo mtawatungua Chelshit tena kwao.
Hongereni watani kwa kukaza buti. Lazima mumfungishe mdomo huyu Maureen pale darajani kama alivyofanywa jana na Aston Villa
It was a wonderful goal from Tomas Rosisky and point 3 muhimu zimechukuliwa na gape limepunguzwa.
Come On You Gunners bring the pensioners.
Ntuzu asante, sasa umebaki wewe weekend ijayo
Mkuu niko tayari kubet na Wewe! Tena Km uko bongo niambie kwa pm uko maeneo gani siku Hiyo nikuletetee chapaa Huku tunatizama mpira! Yani Lazima nikupige Hiyo game! Utake Usitake!
Wenzako spurs jana walisema kama hivo
Hao pensioners wakiongozwa na Lampard lazima wapigwe kipigo cha mwizi ili josefine Maureen atulie
Huyo Mzee Wa mieleka hana history ya kumfunga Jose! Siku Hiyo Mtakimbia hapa!
Maureen lazima atolewe mahari na achumbiwe. Maureen lazima aolewe