Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Leo tumeanza fixture ya March

Stoke 1 Arsenal 0

Next
Arsenal VS Everton

Bayern VS Arsenal

Tothenham VS Arsenal

Chelsea VS Arsenal

Arsenal VS Manchester City


Uuuuuwiiii!!

March hii Gunners Lazima wawe nafasi ya 5.

Teh Teh Teh Teh

Everton

Pale tena kwa Spurs yalaaaah

Then kwa Mourinho ambaye Wenger hajawahi kumfunga, Uuuuuwiiii.

Tena kwa Yale machinjachinja ya City!! Mamaaa Aguero atakua ameshapona wakati huo!

Lazima nafasi ya 5 yenu mwezi huu Arsenal!

Huku Chelsea Mabingwa watarajiwa msimu Wa 2013 kwa 2014 ratiba Yao mwezi huu iko Tambalale!


Teh Teh Teh

Cc Sizinga DullyJr
 
Last edited by a moderator:
Dah, kweli kuwa an Arsenal fun unatakiwa kuwa na roho ngumu. Sijui huu ulevi wa kuishabikia Arsenal niuache namna gani?

Tunahitaji kocha mwingine,Wenger ni kocha anaeheshimika lakini hana mbinu ya kuibadili Arsenal kwa sasa.
 
Dah, kweli kuwa an Arsenal fun unatakiwa kuwa na roho ngumu. Sijui huu ulevi wa kuishabikia Arsenal niuache namna gani?


Kuna thread ya Chelsea hapa JF uwe unapita kidogokidogo tukupe fomu uihame hii timu ya Huyo babu yako!
 
Ndugu yangu Ntuzu sina zaidi ya kusema kuhusu CHAVS kwa sababu ninyi ni wazuri sana katika ununuzi wa vikombe (buying success).

Ninachosema kwa sasa ni kukutakia ubebaji wa kombe salama kulingana na fikra na mtazamo wako.

Mimi mpira ninauangalia kwa macho mengine kwa maana kuwa kuchukua kikombe kwa timu yangu ni bonus kulingana na mazingira ya timu yalivyo.

Ninadhani mtazamo wangu unaakisi pia mtazamo wa Wapenzi na washabiki wengi wa timu kwa sababu sijaona bado manung'uniko kama ilivyokuwa msimu uliopita na siku baada ya mechi ya kwanza ya Premiership.

Wapenzi na washabiki wa Arsenal wanajitambua na kwa maana hiyo, wanaitambua hali ya timu yao kifedha na kiuendeshaji.
 
Last edited by a moderator:


Teh Teh Teh!

Rafiki yng naona Leo umeongea kinyonge sn! Na kumbe msimamo Wa timu yenu unaufahamu vzr sasa Kwanini wenzako walikua wanaota kubeba ndoo?

Kuna Mkuu mmoja Kitoabu aliwahi sema Labda mbebe ndoo ya Maji!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
The gap is only 4 points. Anything can happen on any given weekend in the EPL
 
Ata km gap ni point 4 tu, Lkn kwa mujibu Wa ratiba jinsi ilivyo kwa Aresenal ya mwezi huu Lazima walie sn!

Kaka kweli wewe huwajui Arsenal!!.
Pale unapodhani wana game ngumu na watafungwa huwa wanashinda ama kutoa draw hasa ugenini. Nina uhakika watachomoa hizo mechi zote. Aidha watashinda ama watatoa sare
Pale unapodhani watashinda wanaboronga, kama leo.
 

Mwezi huu arsenal Lazima apate matokeo mabaya sn!
 
Teh Teh Teh!

Rafiki yng naona Leo umeongea kinyonge sn! Na kumbe msimamo Wa timu yenu unaufahamu vzr sasa Kwanini wenzako walikua wanaota kubeba ndoo?

Kuna Mkuu mmoja Kitoabu aliwahi sema Labda mbebe ndoo ya Maji!
Ndugu sijaongea kinyonge. Hii ni aina ya lugha inayotumiwa na fan and supporters of Arsenal Club.

Arsenal Fan And Supporters are just humble. Hatuna swagger kama za wanunuzi wa vikombe.

Kwenye ulimwengu wa football kuna kupanda na kushuka kama ilivyo ligi.


Chinese soccer fans say Arsenal is their favorite club. Here huge numbers turns out to watch the London club on tour.
 
Mwezi huu arsenal Lazima apate matokeo mabaya sn!
Mechi ya darajani ndio itaamua fate ya Arsenal.
Wakiweza kumfunga Chelsea ama kutoa sare basi I will give the Gunners a chance of winning the EPL title
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…