ikiwa maneno yangu yako sahihi...upande wa kushoto ndipo goli litakapotokea...kwani kwa sasa Arjen na Larm wote wamepata fursa ya kupanda...watakavyo Nacho hana speed kihivyo hii ndio hatari yenyewe

kiuhalisia...tumebakiza Substitution moja tu....nayo aingie Thomas Rosicky...na inalazimika tema iwe behind the ball...kwa nguvu zote...wakae deep ili kuwa frustrate bayern munchen...