Hongera wakuu, tungezubaa tungefanywa vibaya kama jirani zetu! Wenger alifanya mabadiliko wakati mwafaka kabisa. Naona Diaby anakaribia kuwa mwenyewe..
Happy New Year!!
Hongera wakuu, tungezubaa tungefanywa vibaya kama jirani zetu! Wenger alifanya mabadiliko wakati mwafaka kabisa. Naona Diaby anakaribia kuwa mwenyewe..
Happy New Year!!
Namshukuru Mungu mkuu kwa kuvuka mwaka na kuuona mwaka mpya.Pia nawashukuru vijana kwani walitupa zawadi nzuri tu ya kuuaga mwaka na leo wametupa nyingine ya kuuanza mwaka,hope Jumatano watatupa zawadi kubwa zaidi kwa kuwafunga Bolton(mechi yetu ya kiporo) na kuvuna pointi zote 3 zitakazotuwezesha kupanda hadi nafasi ya 2 kwani tutakuwa tumewazidi Man Utd kwa pointi moja kama sikosei