Kama nilivoeleza hapo awali kwamba Bayern watakuwa wakuwatumia Philip Lahm na Arjen Robben kumvuta Kieran Gibbs lakini mpaka sasa dogo amesimama kidete kuwashughulikia wahanga hao wawili.
Tatizo linaweza kuwa Bayern kuendelea kupata kona nyingi kutoka upande wa Gibbs.
Dakika ya 20 inakwenda, Arsenal 0 Bayern Munich 0