Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Manuel Neuer anapangua penalty ya Mesut Ozil ambayo alipiga kiuzembe sana.
 
Arsenal wasipochangamka mapema hii Bayern watakuja kuwadhibu baadae
 
Ozil anasahau kuwa hawa kenge huitaji kufanya makosa ukiwa mbele yao...ishatugharimu sana ile penalt loss
 
Arsenal wameshusha tempo ya game kidogo ingawa Yaya Sanogo bado anakuwa tishio kule mbele kutokana na mipira ya pasi kutoka kati kwa Cazorla na Wilshere.
 
Lazima awekwe bench Huyu Ozil ndio Akili zimsogee!
 
Kona kwa Bayern inapigwa na Kroos na inatolewa na kuwa goal kick.

Dakika ya 15
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…