Wakuu Leo mnaka kz kubwa km waliokua nayo jana manshity!
Usisikilize hizo "mind games" kumbuka hata Morinyo anasema timu yake haina nafasi ya kuchukua ubingwa.In other side wako sawa wanaposema Arsenal ni timu ngumu kwani Bayern alikuwa na posibility ya kukutana na Arsenal Galatasaray,Milan,Olympiakos au Zenit so ukiangalia hizo team Arsenal ndio ngumuBuyern tangu ile draw ya kupangiwa na Arsenal wachezaji wake waliingia kiwewe...walisema Arsenal ndiyo timu ngumu zaidi kupambana nayo katika round ya mtoano....Ngoja tuwasulubishe leo...keep watching
Wakuu Leo mnaka kz kubwa km waliokua nayo jana manshity!
Wakuu mpo?
Leo ndio leo, Yaya Sanogo anaanza na Chamberlain nae yumo.
Team News
Arsenal
Szczesny; Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs; Flamini, Wilshere; Ozil, Cazorla, Oxlade-Chamberlain; Sanogo.
Subs: Fabianski, Monreal, Jenkinson, Rosicky, Gnabry, Podolski, Giroud.
Bayern nao wamefanya mabadiliko kidogo. Philip Lahm anarudi kwenye nafasi ya ulinzi na Martinez na Thiago wapo kwenye nafasi ya kiungo huku Thomas Muller akiachwa kwenye bench.
Neuer; Lahm, Boateng, Dante, Alaba; Martínez, Thiago; Robben, Kroos, Gotze; Mandzukić.
Subs: Starke, van Buyten, Rafinha, Contento, Schweinsteiger, Müller na Pizarro.
Ha ha ha haaaaaa!