Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimerudi mkuu...! Salama huku kwenu? Hongereni kwa jana...

Huku ni salama mkuu naona mkuu Ntunzu alisahau kukupa matokeo, but ni kwamba Chelsea alishinda 2 bila na Hazard alikuwa man of the match with a lot of shots on Target.
 
Ng'wamapalala
Furaha ya gunners ni ya muda sana. hata kombe la mbuzi mkishindania hamna uhakika kulishinda. Msimu huu ni same silly season. natamani niweke notification somewhere ili mwishoni mwa May nikukumbushe jinsi Arsenal itavyokuwa uchi.
 
Inasemekana game zote saba alizochezesha huyu jamaa Webb Liverpool haijashinda hata moja...!!
 
Hiki kitu gani hiki...Webb iwaje ana bichwa kubwa unproportional na shingo yake? Hii peleka Manure

Kuhusu kesho hilo halina ubishi!!
Ila alichotufanyia H Webb juzi kilinichefua mno,, yani namchukia kama M.vi????!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…