Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jitahidini mpunguze zisiwe 5 nyingine, angalao mpigwe hata tatu tuu
 
Kwa list ya leo sitarajii ushindi... tukipata draw inaweza kuwa vizuri ingawaje itatuongezea wingi wa mechi. Kumtoa Bayern ni ndoto ya kutembea juu ya bahari. Kama tutaoa draw afu tucheze na Liver kwao baada ya kuondolewa UCL itakuwa poa tu.
 
Mshindi wa hii mechi atapambana na everton
 
Wandugu Masanja Mou atafika mbali sn km haujui!
 
Last edited by a moderator:
Kwa list ya leo sitarajii ushindi... tukipata draw inaweza kuwa vizuri ingawaje itatuongezea wingi wa mechi. Kumtoa Bayern ni ndoto ya kutembea juu ya bahari. Kama tutaoa draw afu tucheze na Liver kwao baada ya kuondolewa UCL itakuwa poa tu.
Nani kakuambia tunatolewa UCL...?? Bado tunanafasi...
 
Una nafasi ya kumfunga bayern kwa mpira huu!!!
 
Una nafasi ya kumfunga bayern kwa mpira huu!!!

Kwani bayern ni nani asifungwe? Acha zako wewe, tuna kikosi kizuri sana kinachoweza kucheza na timu yoyote na kikatoa ushindani mkali.
 
Bayern ni bingwa wa uefa kama ulikuwa hujui. Hicho kikosi chenye ushindani tutakiona leo.
kwani bayern ni nani asifungwe? Acha zako wewe, tuna kikosi kizuri sana kinachoweza kucheza na timu yoyote na kikatoa ushindani mkali.
 
Arifu, Wenger ndiye kalianzisha, huku akifahamu Maureen ana mdomo wenye maneno ya shombo!

Unaambiwa ukiwa na nyumba yenye vioo, husipende kurusha mawe kwa majirani zako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…