Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Jaguar?!hapana sijakuelewa bado.
 
Jaguar?!hapana sijakuelewa bado.

Ilitakiwa iwe domo kaya.


domo kaya aliongea kuwa Man City ni kama Jaguar, hawaitaji repair yoyote, timu yake Chelski ndio inafanyiwa repair, hamna lolote ni mind games za domo kaya za kitoto tu..
 
Wakuu hii game sijui itakuwaje...I wish tushinde. Mara ya mwisho Arsenal kuifunga ManU magoli zaidi ya matatu ni mwaka 2002...Arsenal ilishinda 3-1. So hapa napata doubt kama ni ushindi basi utakuwa dhaifu hata kama ni ushindi. Ubovu wa Man U ni kwa timu ndogo ila wakikutana na Arsenal wanakamia na wanachukua point zote 3. Na mara ya mwisho arsenal kushinda ni mwaka 2011tulimpiga 1-0 hapo Emirates.
Sielewi kwanini tuna-suffer sana tukikutana na hawa M-mbwa...Ngoja tusubirie masaa yajayo tuone hali itakuwaje.
 
Ilitakiwa iwe domo kaya.


domo kaya aliongea kuwa Man City ni kama Jaguar, hawaitaji repair yoyote, timu yake Chelski ndio inafanyiwa repair, hamna lolote ni mind games za domo kaya za kitoto tu..
Gotcha amigo!
 

.....shaka ondoa kaka,
Wenye simu wasisahau #kuchaji simu zao!

COYG!!!!


#MosQw !to.
 

we ondoa shaka, leo ndo 2nakata ngebe zao. Unajua ukizoeana na mbwa atakufata msikitini, sasa na hawa wanataka kutuzoea ili watufate kileleni
 

Kweli kiongozi tunahitaji kushinda hii mechi kupunguza kelele mitaani, tofauti na hapo tutatafuta shimo la kuingia!
 
Incase kama leo tukishindwa kuwafunga Manure basi itakuwa very Big Disaster kuliko ile tuliyofungwa na LiverPool 5-1. Kwa njia ya ushindi itakuwa ni aibu kubwa kwa Arsenal kushindwa kuifunga mid-table team...It will be very big shame yaani...
 
Mimi ni mpenzi na mshabiki mkubwa sana wa Arsenal…lakini ni ukweli usiopingika Arsenal kwa Man U ni kama mbwa kamuona chatu. Yaani hata kama Man U watakuwa wabovu kiasi gani lakini ni lazima watawafunga Arsenal zaidi ya goli
2 au zaidi ya goli 3. Chakusikitisha wachezaji wa Arsenal wakiiona Man U wanapata kiwewe na mchecheto hata kabla ya game yenyewe kuanza.

Naipenda sana Arsenal,lakini sometime wachezaji wa hii timu ni wajinga na ni mipumbavu sana hasa wanapokutana na
Man U
 

....ahhh, kama ushajua matokeo yatakuwa hayo usisikitike saaaaana...

Tuachie sie mangangari tunaoamini chochote chaweza tokea....

COYG, together we stand!!!


#MosQw !to.
 
....ahhh, kama ushajua matokeo yatakuwa hayo usisikitike saaaaana...

Tuachie sie mangangari tunaoamini chochote chaweza tokea....

COYG, together we stand!!


#MosQw !to.
Mkuu,kusikitika ni lazima kwasababu naipenda hii timu…ukweli lazima usemwe no matter what!
Any way mpira ni dk 90…acha tusubiri na tujionee
 
Waoga utawajua tu mapemaaa wametabiri. Vice vesar@ 7-0 weeeeeeeeh co kwa asenane kwa kudhiirisha kwamba. Muembe wangu wa uwani,,arsenal 0_mufc 3

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 

mbona una anya mapema. Leo ndo utaona sindano ndogo inavoshona makoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…