Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Washabiki wa Asernal wengi wanaugua maradhi ya MOYO,jiulize kwanini?
 
Washabiki wa Asernal wengi wanaugua maradhi ya MOYO,jiulize kwanini?

Chijui utabadili majina mara ngapi? Mosi huwezi kukiri hapa timu yako ni ipi? Huna hata aibu kuisema Gunners one point from the top na wala hatuweweseki nyie mnaweweseka ndio sababu mnamfuatilia na kufuatilia timu bora na inayocheza kitale cha hali ya juu. Wte wanaotukandia wivu wa kike unawachumbua khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ati ugonjwa wa moyo wenye huo ugonjwa ni wale wanaotufuatafuata wakati wenyewe wanashabikia timu za uchochoroni khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


BTW hata wangefunga magoli mia bado wana 3 points na Gunners wana 3 points kutoka mechi za msimu huu kwenye EPL .... .... .. ..
 
Reactions: Mbu

Feel sorry for whom? Prof, you must be joking, falling at any time is just an accident, it can happen to anybody. People fall everyday at the stations .... ... why this is a big thing? Kwa sababu Gunners tupo kwenye cream za football clubs na wivu ndio unawasumbua, you like other teams go and support them, you hate us thats fine but we cannot agree with people who hide their allegiance to their own teams.
 
Reactions: Mbu

Watu wanakuja kuikandia Gunners ukiwauliza wanashabikia timu gani hawasemi wanaona aibu, wanabadili majina kama vinyonga. They can't sort out their own affairs wanakimbilia wimbi la media machine za UK ambazo ziko biased na mafanikio ya Gunners ukweli wa mambo Prof katengeneza kifaa na kabadili mwenendo wa soka la UK. Hate it or not huo ndio ukweli watalia sana miaka hii.

COYG
 
You can quote me ubingwa mwaka huu ni wetu asiyependa aende kula mawe. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: Mbu
......dahhh, yaani majority ya #WapigaVigomaVyaDaku humu tangu jana kumbe ni mashabiki wa #Spuds ?! No wonder hawajitokezi mpaka Arsenal wapoteze game!

#MburukengeNyie ! ...,haya, iokoeni thread yenu kabla haijafutwa, mara ya mwisho ni Shedafa pekee aliyekuwa anashikilia kamba!




#MosQw !to.
 
Last edited by a moderator:


Tunafahamu ni nani alimsukuma Mzee Wenger pale mlangoni Stesheni halafu akakimbia.

Na dawa yake atapata jumatano.
 
£8 million to the bank every year, na bado tutamuongezea dau lifike £10 million, the best manager ever, watachema usiku watalala Prof yuko pale pale. Anawanyima usingizi. Safi sana Gunners .... .... ... ... ... ... ... .... COYG
 
Ufike wakati tukubali kuwa WENGER anapaswa kustep down!

Hatuwezi kukubali mafioso wa Urusi wachukue timu ie kuvuna wasichopanda. Wenger haendi kokote hizi kampeni hazikuanza leo tupo 1 point behind the leaders na hiki unachokiandika labda hufahamu millions of pounds are thrown every single day in tabloids and radio stations specifically kumwandama Prof lakini wapi ... .... ... ni kwa sababu nyumba iliyojengwa kwa msingi imara hata mafuriko yaje kiasi gani haiwezi kuanguka. Wasiompenda Prof wakale mawe majority share holder na board wana imani na prof na mimi nina imani na prof hiyo ndio bottom line mengine ni maloloso tu. For the moment Prof haendi kokote wasiofahamu EPL wasepe waje May kusheherekea ushindi. COYG
 
Ufike wakati tukubali kuwa WENGER anapaswa kustep down!
Mkuu timu ilipokuwa inashinda na kucheza soka ya kuvutia kuliko timu yoyote EPL toka ligi ianze, hakuna mtu alisema afukuzwe. Hadi jana alipopigwa 5 na Liva.
Hebu mtendeeni haki professa jamani
 
Bado mnaomboleza? Nimewaletea Rambi Rambi!

Kocha wako anajua Ubingwa hapati labda Mwakani....
Tunashukuru kwa kutupashia joto nafasi yetu kileleni.....
Mpaka Jumatano tutarudi tulipopazoea....
 
Kocha wako anajua Ubingwa hapati labda Mwakani....
Tunashukuru kwa kutupashia joto nafasi yetu kileleni.....
Mpaka Jumatano tutarudi tulipopazoea....


Wewe ni mgeni Wa Mourinho!
 
Wakuu wangu wa nguvu Asalaam Aleikum...dah wikend yangu ilikuwa mbaya sijawahi ona, niliboreka mno kila ninachokifanya hakiwezekani...kichapo pia kilinchanganya! Nikaona nipoteze mda kwenye pooltable nako nikabondwa, hata usingizi sikuupata na sikujisumbua kuangalia what media displays...anyway I'm back to bizness...
Let's keep hope my colleague!
Mbu pierre Wacha1 Richard Katavi Balantanda dully jr
COYG
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…