Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Wapi hile mijamaa khe khe kheeeeeeeeeee wapi Wacha1
 
Last edited by a moderator:
Mburukenge FC ha ha ha ha ha ha aha ha eti wanataka kunyakua ubingwa wa EPL mijitu mingine mivivu ya kufikiri.
 
.....mmejaa leo hapa,
Wengine ndio kwanza leo nawaona....

....haya, tuendelee kuangalia kabumbu....

COYG!!!!!

Mauaji hakuna kabumbu hapa,halafu naona Suarez analeta mapozi leo
 
arsenal mnapanua sana miguu bana..yaaani watucwanapachika tu mabao ..mxxxx
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…