Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal lazima waongeze goli la Pili

Dakika ya 56 Cameron Jerome anatoka na Barry Banna anaingia kwa upande wa Crystal Palace.
 
dakika ya 71 na Thomas Rosicky anaingia badala ya Lucas Podolski
 
Dakika ya 82 Crystal Palace wanamtoa Marouane Chamakh na kumuingiza Dwight Dayle
 
Dakika ya 84 Arsenal nao wanawaingiza Nicklas Bendtner na Kieran Gibbs badala ya Mesut Ozil na Olivier Giroud.
 
Sasa twaweza kupumzika na kuangalia who's next.

Dakika 3 zimeongezwa.
 
Back
Top Bottom