omary mwene
JF-Expert Member
- Nov 6, 2013
- 293
- 55
Noma sana. Angetusaidia katikati maana hatuna Jack, Flamini na Rosicky sijui pua yake kama imeshapona. Anyway, tutawagonga magozigozi wk end. Naomba Spurs na West ham wafanye miujiza ya kumbadilisha panya tembo kesho.
Noma sana. Angetusaidia katikati maana hatuna Jack, Flamini na Rosicky sijui pua yake kama imeshapona. Anyway, tutawagonga magozigozi wk end. Naomba Spurs na West ham wafanye miujiza ya kumbadilisha panya tembo kesho.
Hii game imetuwia ngumu sana. Hatukustahili kushinda kabisa....tumezidiwa kwenye kila idara. Am happy atleast tumetoka na point 1.
Thanks Gunners.
Hatukuwa na jinsi, point moja ni bora kuliko kuchoma mafuta mpaka Southampton na kurudi London na yellow or red card kama ilivyotokea kwa Flamini.
Timu yetu inapokosa viungo ambao ni wazuri katika diffensive and offensive game kama Ramsey, Wilshere and Rosicky huwa tunapwaya sana hasa kama timu pinzani watakuwa ni wazuri katika ball possession.
Huduma kwa Giroud zilikuwa zimekatika kwa sababu Arteta na Flamini hawawezi kucheza pamoja kwa vile football mentality yao ni moja ambayo ni defensive game wakati huo huo Ozil na Kazorla ni wazuri tu offensive game.
Tumeingia kipindi kigumu sana ambacho kinahitaji wachezaji wote wawe salama na hasa kulingana na idadi ya wachezaji tulionao.
I'm happy to take a point back to London.
Once a Gunner, Always a Gunner.
Duh! Afadhali humu ndani leo kelele zimepungua.
Duh!!!!! kumbe Ozil na Carzola ni wazuri kwenye offensive didn't know that before.
Hii game imetuwia ngumu sana. Hatukustahili kushinda kabisa....tumezidiwa kwenye kila idara. Am happy atleast tumetoka na point 1.
.......View attachment 135789
.....ahhh, unajisumbua buree kumjibu huyu mtani Belo,
mwenzie Nzi #keshajizoelea sasa.
yap game ilikuwa ngum saana jamaa walimiliki mpira kwa kiasi kikubwa.
One positive thing from the midweek games Chelsea lost points too. City are just one point ahead of us and they got Chelsea on Monday. However I think City will run with it from this point on. I hate to see this happening though. COYG!!!!
Tusikate tamaa bado nafasi tunayo, japo mimi huyu Giroud bado simuamini sana pale mbele.
Tatizo ni Ozila ambae anaogopa kuumia kabla ya World Cup. Amekuwa mzito kusababisha magoli inagawa alikuwa afunge goli la tatu na mpira ukagonga besela.
Pia rafu aliocheza Flamini haikuwa ya lazima bali ni kuzidisha matatizo tu kwa Arsenal maana Flamini atakosa mechi tatu, Rosicky anaumwa pua, na Walcott nae ndio hayupo kabisa, Ramsey jana akawa bado ahawezi kukimbia kutokana na msuli kuuma.
Arsenal itakuwa ok tu suala ni kuifunga Crystal Palace nyumbani siku ya Jumapili na kusubiri jumatatu Man City na Chelsea maana wao pia wanaweza kutuamulia ni nani ataenda kuwa bingwa.
Arsenal itatangaza usajili wa wachezaji wawili au pengine watatu ifikapo Ijumaa jioni.
Mmoja wao anaweza kuwa Draxler au hata Morata ingawa kuna majina mengine yameibuka jana baada ya kuwapoteza Flamini na Ramsey.
Stay tuned.