Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Dakika ya 60

Arsenal 2-0 Coventry

Bendtner anakosa...

Duh...Ozil hilo pande...
 
hawa conventry wanaweza kurudisha goli moja... Naona timu ya leo imejengwa na Wajerumani 5 na waingereza 4. No more French connection kama enzi zile.. sitoshangaa kumuona kocha wa kijerumani (maybe Klopp) akichukuwa timu baada ya Wenger.
 
Back
Top Bottom