Ni fans wa Arsenal mkuu....What a miss from PodoNa sijui wana maanisha nini hao ni fans wa conventry. Na kuna bango lingine kubwa limeandikwa Take us home.
WHY???????????? Kwanini fans wamenyanyua hivi vibandiko wakuu? Balantanda Piere. Fm
Lakini Jmosii na Jpili pia kuna FA matches kibao..whats the real prob?Wanalalamikia game kupangwa kuchezwa Ijumaa badala ya Jmosi.au Jpili....Siku ya kazi
Ni fans wa Arsenal mkuu....What a miss from Podo