Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Ili kuweka kumbukumbu sahihi: Msimu huu 2013/2014 timu ya Manchester United haijaifunga Chelsea FC. Lakini timu hiyo ya Mwanitesa Unite imefanikiwa kuifunga Arsenal Fc. Ajabu ni kwamba mechi ya kwanza Arsenal 0 - 0 Chelsea; marudiano itakuwa kama ilivyokuwa jana. Points za ubingwa wetu wanazo Arsenal na City: Tutazichukua na kuongoza ligi hadi mwisho.

yaani mashabiki wa GENGE mna matatizo kweli nyie mmemkuta mlevi juu ya nyumba mkamsukuma akaanguka chini mnaanza kujisifia nyie wababe duuh! Hii hatari aisee.
 
Umesema kweli Mkuu!
 
yaani mashabiki wa GENGE mna matatizo kweli nyie mmemkuta mlevi juu ya nyumba mkamsukuma akaanguka chini mnaanza kujisifia nyie wababe duuh! Hii hatari aisee.

Yani Wewe Subiri uje uone!
 
Sasa hawa Arsenal mbona walishindwa kumfunga Mwanitesa ile mechi ya kwanza?
Arsenal hilo ndo tatizo lenu, rekebisheni mapema kama kweli mnataka ubingwa msimu huu. Mnagawa pointi kwa timu ambazo zinaweza kuchukua ubingwa; mfano mliwapa points Man City, mngekuwa mbele points 4 sasa.

Mkuu wameshaliona Hilo!

Game ya Chelsea na Arsenal imewapa fundisho na game ya Chelsea na Liverpool na game yetu ya Jana!

Kwahiyo huwezi kuwaona tena Arsenal wanawaza ubingwa!
 
Ili kuweka kumbukumbu sahihi: Msimu huu 2013/2014 timu ya Manchester United haijaifunga Chelsea FC. Lakini timu hiyo ya Mwanitesa Unite imefanikiwa kuifunga Arsenal Fc. Ajabu ni kwamba mechi ya kwanza Arsenal 0 - 0 Chelsea; marudiano itakuwa kama ilivyokuwa jana. Points za ubingwa wetu wanazo Arsenal na City: Tutazichukua na kuongoza ligi hadi mwisho.
Una kichaa wewe sio Bure
 
Mkuu wameshaliona Hilo!

Game ya Chelsea na Arsenal imewapa fundisho na game ya Chelsea na Liverpool na game yetu ya Jana!

Kwahiyo huwezi kuwaona tena Arsenal wanawaza ubingwa!
Wewe na agosti 8 wote mna vichaa vya Mbwa mwizi... yaani ushindi wa jana mnatupigia mikelele hivyo..Man U ni litimu libovu sana, na ile game waliyotufunga kamoko ni uzembe wa Beki na kwakuwa Per Mert alipatwa kaugonjwa cha kuharisha mfululizo...Vermalein alishindwa kudhibiti. Jiandae kwa kilio Tena pale kwenu Darajani.
 
Last edited by a moderator:

Wewe Acha kuota mchana kweupe! Umeuona mziki Wa Jana lkn?
 
Last edited by a moderator:
rockcity Native Balantanda Piere. Fm Katavi Ulimakafu Sizinga mfarisayo gutierez

Bado mmejificha darini Wakuu? Mtainua ndoo safari hii?

Au Mtainua ndoo ya Maji?

Kwi Kwi Kwi Kwi

Chezea Jose Mourinho Wewe!

hahahaha kijana ntuzu unajua mchezo wa ngumi ulivyo? Bondia akipewa za uso sana kocha wake anaweza rusha taulo kumnusuru na game kwisha. Sasa ndo itakavo watokea nyie. Mtakimbiza sana kivuli cha bunduki mwisho wa siku mbwatukaji (mourinho) atatupa taulo ifikapo mwezi march.. Bora hata mancity atatupa taulo April. Man u na liva wazee wa history washatupa taulo lao
 
Mkuu Nyie mbona sijaona ktk orodha? Au na Nyie mlishatupa taulo?
 
Jamaniee kutumia ARV ukanenepa haimaanishi hujaathirika. Nawashangaa asenali ambao wanajiona mabingwa for merely taking ARVs...
 
Siziga za asubuhi? Naona unaanza kutukana majirani zako nini tatizo? Au ulitaka Mwanitesa watufunge? ha ha ha haha.:music:
Wewe na agosti 8 wote mna vichaa vya Mbwa mwizi... yaani ushindi wa jana mnatupigia mikelele hivyo..Man U ni litimu libovu sana, na ile game waliyotufunga kamoko ni uzembe wa Beki na kwakuwa Per Mert alipatwa kaugonjwa cha kuharisha mfululizo...Vermalein alishindwa kudhibiti. Jiandae kwa kilio Tena pale kwenu Darajani.
 
Arsenal to Sign £49m Pair this Week

Christian Bailey

Emirates Stadium side close in young duo.

Arsenal are to push on with efforts to land Arsene Wenger's two top January transfer window targets with the North London club looking to sign Schalke's Julian Draxler and Real Madrid striker Alvaro Morata.

CaughtOffside understands that the Gunners boss has been given the green light to launch sizable bids for both youngsters as Arsenal look to bring to an end a lengthy silverware drought and Wenger will look to complete both deals by the end of the week if at all possible.

Arsenal are ready to trigger the €45m (£37.4m) release clause written into Draxler's Schalke contract as the Premier League leaders prepare to once again show their spending power having smashes their club record transfer fee to bring in Mesut Ozil last summer.

The 20 year old attacking midfielder is Wenger's number one transfer target and a player the North London club wants to bring in this month to avoid entering a bidding war for the player in the summer.

Arsenal will change their approach in relation to their pursuit of Bernabeu youngster Morata, where a loan deal has not looked appealing to the Spanish giants.

Wenger will table an opening offer of €15m (£12m) for the 21 year old striker and will hope that the promise of a better chance of securing regular first team football will act as a motivating factor to push the youngster to demand a move to join the English top tier.

Though Morata is held in high regard by Real Madrid the distinct lack of first team options will surely be a concern to the Spanish Under 21 international, who has started just one La Liga fixture this season.

Moves for Morata and Draxler adhere to Arsenal's youthful transfer policy and would also act as something of a statement of intent as Arsene Wenger seeks to both strengthen his squad in the short term whilst also planning for the future.
 
source???
 
Back
Top Bottom