Neno.......Mechi ya jana kama kungewa na striker mwenye uchu,kipindi cha kwanza tungepata hata magoli matano,ila giroud anaridhika sana akishnda goli 1 tu anarelax,ingekuwa man shit wale wangekula 8 au 9,wenger nunua costa au mandzukc waje kutoa changamoto

Mechi ya jana kama kungewa na striker mwenye uchu,kipindi cha kwanza tungepata hata magoli matano,ila giroud anaridhika sana akishnda goli 1 tu anarelax,ingekuwa man shit wale wangekula 8 au 9,wenger nunua costa au mandzukc waje kutoa changamoto
.....asisepe mchezo? presha tupu..
Game yao ijayo wanacheza na pensioners wa darajani!...yaani mpaka huruma.
hawajijui wala hawajitambui lakini #WatazoeaTu!
Mechi ya jana kama kungewa na striker mwenye uchu,kipindi cha kwanza tungepata hata magoli matano,ila giroud anaridhika sana akishnda goli 1 tu anarelax,ingekuwa man shit wale wangekula 8 au 9,wenger nunua costa au mandzukc waje kutoa changamoto
Aaah! Mkuu Tafadhari bhana hao jamaa tayari Wameshazoea so hawawezi kuzoea mara 2.
Mimi nadhani ni timu nzima wana relax sana na hata washabiki pia uwanjani wanakuwa kama wachezaji kwa ku-relax sana pale timu inapoanza kufunga magoli mawili kwenye timu za middle or bottom of the table.Match ya jana kama kungewa na striker mwenye uchu,kipindi cha kwanza tungepata hata magoli matano,ila giroud anaridhika sana akishnda goli 1 tu anarelax,ingekuwa man shit wale wangekula 8 au 9,wenger nunua costa au mandzukc waje kutoa changamoto
Ni kweli kabisa mkuu maaana Man City wana idadi kubwa sana ya magoli na Arsenal lazima wakumbuke hilo.
....hahahaha, hivi ee?
No wonder wamepunguza kusogeza pua zao humu!
-Baaaaaaammmmm!-.... "Whack A Mole!" ....khekhhehhheeeee....wakichungulia tu wanalo!!!
Duh Ndugu kuna mambo ya kikazi yameingiliana hapa si unajua January hii, nilipitea kidogo mtandaoni,na kesho nina safari ya Daslam from Chuga so ila tupo pamoko...ngoja tucheki update za Usajili kwanza.