Duh, hawa vijana wa Birmingham walitushikilia kweli dakika 20 za mwisho!.
Thanks Gunners, tumetoka na ushindi pamoja na majeraha ya hapa na pale.
We are back kwenye position ambayo wengi wanadhani hatuna uwezo wa kuikalia.
Wajameni, Polepole ndiyo mwenda.
Tukutane tena kwenye uwanja wetu wa kujidai Jumamosi, 18 January, 15:00 GMT kutoa vidonge kwa Fulham.
Once a Gunner, Always a Gunner.