Kwa kweli Arsenal wametawala mchezo na kitendo cha Aston Villa kuamua kurudi kwenye mtindo wa 4-4-2 kumewapa nafasi Arsenal kutawala mchezo na sehemu ya kiungo kwa kiasi kikubwa mno.
Dakika ya 45 inakwenda na kutaongezwa dakika kama 5 au 6 hivi kutokana na kusimama kwa mchezo baada ya kuumia kwa Nathan Baker.