Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hapana Chifu....

Sidhani kama hizi ni siasa za majitaka maana binafsi zaidi ya upenzi wangu wa soka sina maslahi yoyote katika hizo picha ama gay magazines, vitu ambavyo sidhani kama vina umuhimu wowote katika ushabiki wetu wa soka...

Mimi nadhani njia pekee ya kumuepuka comrade Wacha ni kumpuuza na si kuiga kile anachokizungumza...Hapa unacheza ngoma anayocheza Wacha ambayo inatufanya tushindwe kuwatofautisha....

Utamaduni niliouzungumzia hapo juu ni wa wanaume kupigana mabusu, na nilitaka tu ionekane kwamba kitendo cha Olivier Giroud kumpiga busu Mathieu Debuchy hakina tofauti na kile cha Gary Neville kumpiga busu Paul Scholes wala shabiki kumpiga busu SAF....Na hapa ndipo niliposema ni utamaduni wao labda....

Hayo ya kupiga picha kwenye Gay magazine nadhani ni ya kwake....Kuna watu wengi tu katia sayari hii sio gays lakini wana support ushoga na wengine hudiriki hata kushiriki harakati za kuutetea ushoga ama kushiriki kwenye shughuli za mashoga.....

Nadhani cha msingi ni kuangalia ile burudani tunayoipata uwanjani......Comrade Wacha kakuingiza mtegoni na wewe umeingia kichwakichwa Chifu....
 
Reactions: Nzi

Heshima kwako chifu wangu.....
Wacha1 wacha makelele yako.....

Case closed......

Seasonal greetings from #ManUnited

Happy New Year to You All Gunners

 
Hebu fikiria mwaka mpya ukiwa kileleni mwa epl hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahah acha AW anenepe ,hivi kale kadirisha kadogo ka usajiri kanafunguliwa tarehe ngapi jamani ?huku pochi limetuna linataka kufunguliwa,aje D.costa tuendelee kugonga glas hadi may!
 
Hivi Records zako zinaonyesha Cardiff City ndiyo inashikilia mkia? Watch OUT bro...Cardiff ni wazuri sana hasa ikikutana na vigogo
 
Happy New Year 2014=1947 to all GUNNERS FAN'S....Burudikeni na Mrembo huyu!!

 
[h=1]SOCCER[/h][h=4]HOME > SOCCER[/h]

[h=1]Arsenal Transfer Rumors: Gunners To Sign Real Madrid Striker Alvaro Morata On Loan[/h]By James Dudko - Posted: 12/30/13 10:04AM EST










Real Madrid striker Alvaro Morata is tipped to join EPL leaders Arsenal on a six-month loan in January. (Photo: m.ibtimes.co.uk / James Dudko)
Arsenal may have found the solution to their lack of options at striker. The Gunners are being strongly linked with Real Madrid's young forward Alvaro Morata. Manager Arsene Wenger's English Premier League table-toppers will apparently sign Morata on a six-month loan in January, according to The Daily Mail's Rob Draper.



 
Heshima kwako chifu wangu.....
Wacha1 wacha makelele yako.....

Case closed......

Seasonal greetings from #ManUnited

Happy New Year to You All Gunners


Hahaha....

Asante sana Chief Nzi.
Na kwenu pia TEAMMburukengeUnited
Mwaka huu uwe wa .....
...kwa team yenu.

Ameen.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: Nzi
nawatakia Heri ya mwaka mpya Gunners wenzangu na wadau wote wa Jukwaa la Michezo na Burudani hapa JF..

Kila la heri...

Bala.
 
Arsenal have a lengthy injury list with Olivier
Giroud (ankle), Aaron Ramsey (thigh) and
Mesut Ozil (shoulder) out.
Kieran Gibbs (calf) is also missing, while Theo
Walcott (shoulder), Tomas Rosicky (calf) and
Jack Wilshere (ankle) all face late fitness tests.
Cardiff are without Craig Bellamy because of a
knee problem, while Declan John is expected to
continue in place of injured left-back Andrew
Taylor.
Aron Gunnarsson and Peter Odemwingie will
hope to earn recalls.
 

hatareeeeee....wale wa nafac ya 6 wasubiri sana
 

Mkuu hio isikutishe sana Wenger anapumzisha wachezaji.
 
Teams News kutoka uwanja wa Emirates:

Arsenal: Kipa Szczesny, mabeki Sagna, Mertesacker, Koscielny, na Monreal, kati kuna Arteta, Flamini, Wilshere, pembeni kuna Walcott, Cazorla, n mshambuliaji mbele ni Lucas Podolski.

Wachezaji wa akiba: Fabianski, Vermaelen, Jenkinson, Rosicky, Ryo, Gnabry, Bendtner.


Nao Cardiff City : Marshall; McNaughton, Caulker, Turner, John; Whittingham, Medel, Kim, Noone, Mutch; Campbell.

Wachezaji wa akiba: Lewis; Hudson, Cornelius, Smith, Gunnarsson, Cowie, Maynard.

Mwamuzi ni Jonathan Moss
 
Nacho Monreal anaziba nafasi ya Kieran Gibbs ambae aliumia kidogo kwenye mechi na Newcastle na Lucas Podolski anaziba nafasi ya Olivier Giroud ambae anapunzishwa kwa madai ya maumivu ya kisigino.

Meneja Wenger ameamua kuanza na Podolski badala ya Nicklas Bendtner ambae ataingia kipindi cha pili.

Pia Wenger leo tena amejaza wachezaji wa kiungo na tunachotaka kuona ni umaliziaji mzuri na magoli kutoka kila kona.

Mwamuzi wa mchezo wa leo bwana Moss ni mmoja wa waamuzi wachache ncnini Uingereza ambae amesomea kabisa kozi ya uamuzi kama sehemu ya kozi ya shahada yake ya ualimu na elimu ya viungo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…