Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunahitaji kusajili striker January...Giroud hana makali ya kutosha sasa...
 
Hii game ya Liver na Chelsea ni bora iishe kwa sare.....Itakuwa nafuu kwetu
 
Reactions: Mbu
Hii game ya Liver na Chelsea ni bora iishe kwa sare.....Itakuwa nafuu kwetu

.....liverpool mdebwedo mpaka sasa,
Myb 2nd half Suarez ata recharge battery....

Sturridge angekuwepo nae pale
Pangekuwa patamu
 
.....#WatazoeaTu .
Together We Stand, game ya leo nimeiangalia kimachale kweli...,

Haya, angalau tupumue huku tukieastaajabia Liverpool na Chelski wakiuana.
Ukweli ni kwamba hakuna mashabiki ambao huwa wanaangalia game kwa raha kama wa Arsenal...Ndio maana utaona siku Arsenal ikicheza mashabiki wake tunakuwemo humu kwa muda wote, tuwe tumeshinda, tumeshindwa ama tutoke sare....

Na Chifu wangu Nzi hana tofauti na mashabiki wa Arsenal, timu ikicheza muda wote upo jukwaani...Tofauti na wenzake wengi na wale wa darajani...

Sisi mashabiki wa Arsenal #TulishazoeaKitambo mkuu....Kazi na kwaoMan Utd ambao si kawaida kula Krismas ama Mwaka mpya mkiwa ndani ya 6.....Lakini #WatazoeaTu chifu...

Naona Chelsea wanaongoza kwa goli 2 sasa...
 
.....#WatazoeaTu .
Together We Stand, game ya leo nimeiangalia kimachale kweli...,

Haya, angalau tupumue huku tukieastaajabia Liverpool na Chelski wakiuana.

Siku za mechi unasingizia boksi,mechi ikiisha tu unaonekana
 
teh teh teh bala weee..
 
Ukweli ni kwamba hakuna mashabiki ambao huwa wanaangalia game kwa raha kama wa Arsenal...Ndio maana utaona siku Arsenal ikicheza mashabiki wake tunakuwemo humu kwa muda wote, tuwe tumeshinda, tumeshindwa ama tutoke sare....

Tema mate chini arifu....mbona unasema uongo mchana kweupe? Kuna yule mtu anaitwa BAK yeye uwa na kisingizio eti ana wageni nyumbani..... Wacha1 makelele yeye ndo hata humwoni.....wengine eti ujifanya walikuwa wanafuatilia gemu....siku ile ya kipigo pale OT, palikuwa na ukiwa sana humu.....siku ile ya goli 6 ndio usiseme.......wewe mwenyewe siku moja ulitoa kisingizio eti ulikuwa busy, na akina siye tusio na kazi, tukawa tumeshinda humu gonuni.........

Naona kuwepo kileleni kumekuchanganya hadi unasahau huyo mdudu Mbu naye ni goons!!!
 
Last edited by a moderator:
Njooni muone ninavyo ninavyo mkamua Liverpool! Yani yuko hoi!
 
Hahaaaaaaaa......

My bad Chifu....Ukweli ni kwamba majina yenu yanachanganya na nilijua nakuquote wewe kumbe ni Mbu bana.....

Noted............And edited....
 
Hahaaaaaaaa......

My bad Chifu....Ukweli ni kwamba majina yenu yanachanganya na nilijua nakuquote wewe kumbe ni Mbu bana.....

Noted............And edited....

Kwa heshima yako....naidelete ile post ya Giroud.....

Ila huyu Wacha1 makelele nitadeal naye......
 
Last edited by a moderator:
Dah....

Chifu mbona hiyo Video haiendani na hiyo picha ya 'photo shop' uliyoiweka?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…